sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
🖕🖕🖕🖕 skia wewe bwenga mpaka sasa Mwanza ni 50/50 Diamond vs Yanga na Simba. Kila mtu anashangaa hii nguvu ya kuitikisa derby ya huyu kijanaWatu wako buzzy na kariakoo derby, chawa wa domokaya ana haha kumpamba boss wake, hizo bundle mnazopewa mtumiage vizuri.
Nakuona hapo kwa picha una mkenulia domokaya, na hujari wala nn. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Subiri uone mafuriko ya Mondi hapo baadae na kumbuka viingilio ni laki kwa million.Mondi sikuiz watu hawana nae vibe maana zuchuchu hana nyota
View attachment 2241888
Msanii namba moja Africa, Diamond Platnumz aka Simba anapiga expensive show ndani ya Mwanza leo.
Basi watu wote ndani ya Mwanza wamejawa na furaha.
Kama una ndugu au jamaa yupo Mwanza mpigie simu atakupa majibu ya balaa la Diamond ni mji umesimama.

Diamond ni Nan mpaka useme watu wote mwz tuko bize nae? Acha usengelema huoView attachment 2241888
Msanii namba moja Africa, Diamond Platnumz aka Simba anapiga expensive show ndani ya Mwanza leo.
Basi watu wote ndani ya Mwanza wamejawa na furaha.
Kama una ndugu au jamaa yupo Mwanza mpigie simu atakupa majibu ya balaa la Diamond ni mji umesimama.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa binti wa Paje huko ndani ndani atamsumbua nan? Aendelee kuimba kaswida zake za kutoka bakita.Mondi sikuiz watu hawana nae vibe maana zuchuchu hana nyota
[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wee chawa una haha sana, yaan unahangaika na kumpamba domokaya wako, na watu hata hawana habari nae, hizi nguvu kaelekeze kule FB na IG sio hapa.[emoji867][emoji867][emoji867][emoji867] skia wewe bwenga mpaka sasa Mwanza ni 50/50 Diamond vs Yanga na Simba. Kila mtu anashangaa hii nguvu ya kuitikisa derby ya huyu kijana