Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Huyu jamaa mwenyewe ni kitombi..ana hali ya kumsema mwenzie wakati ye anafanya yaleyale?
Mahusiano yalivyo ukiwa na msaliti halafu mazingira yako ya kazi kuna mtu anaitaka nafasi ya msaliti lazima uingie kwenye wakari mgumu kidogo
 
Kwani tatizo liko wapi?
Ye kachepuka na pa skwea,we nawe ukawa unachepuka na akina tunda sabasita na hamissa chuchunge..
Hamna shida
Malaya mlikutana
Nashangaa watu wanavyo toleana povu hali ya kuwa malaya wawili walianziasha mahusiano. Zari alikuwa anavizia Diamond awe Tanzania achepuke vile vile Domo nae akiwa TZ bila kuwepo Zari anachepuka.
 




 
Ukizaa na mtu mheshimu sana sana ata kama hamko pamoja...

Kumdhalilisha mzazi mwenzio ni sawa na kujidhalilisha na kudhalilisha mtoto/watoto wako...
Yule kijana yupo Tayari kufanya lolote kwajili ya pesa
Yupo Tayari hata kudhalilisha mama yake mzazi kwa ajili ya Kiki Mambo yake yaende

Kufanya vitu vya kipuuzi mbele ya mama yako Ni kumtukana hadharani kwa tafsiri ya hukupata malezi bora
 
Wewe unamjua zari ?. Mnafikiri nyinyi ndiyo wakweli. Daimond ndiyo alikuwa anaishi na zari. Sisi Ni ma observer tu. So alichosema dai inaweza kuwa kweli ama uongo. So acha kutoa povu kwa kile usichokijua.
 
Kaulizwa maswali na Aaliyah na Jonijoo ulitaka ajibu nini angalia vitu anavyopost sasa hivi Zari kachanganyikiwa anajibu mapigo
Mkuu kweli wewe ni mmbea yaani mara hii umeshaenda had I kwenye akaunti ya zari?
 
Kaona kulipa watu instagram kumchafua Zari kumebuma, kaamua kumchafua mwenyewe. Eeeeeeh mbona hakumuacha kabla.. muongo sana huyo libaba.
Unakuwa naye akiwa anawalipa watu Instagram??

Acha kuweweseka kwa usichokijua. Au nawew ulipitiwa na dai akakuacha nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…