Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Ule wakati Diamond yuko na Wema kuna wakati alifunguka kuhusu relationship yao. Alisema ni ngumu kujicommit kwa mtu leo unasikia yuko na flani na ukiuliza unaambiwa yule hata home wanamjua. Si muda mrefu tulisikia habari za Clement wa Ikulu. Ni kweli Diamond alizidiwa anasema ya moyoni.

Zari amepata nyumba na watoto ashukuru.
 
Mbona na yeye alichepuka mpaka na kuzaa nje? Aliwahi kuhojiwa alikanusha kuwa hakuwa na mahusiano na hamisa. Wote hamkutulia mnaishia kulaumiana tu
Sasa hapo si ndo kasema mwanamke akizingua na yeye atampiga matukio hadi aondoke mwenyewe?
 
yakowapi yale mapenzi yale yakowapi, yakowapi
mimi nawe tulikua happy, yakowapi!?
 
Kama hana la kuongea anyamaze.. kwa sababu alisapoti mziki wa P square wakati wenzake wametoa alizoshiriki ndio anaongea upuuzi huo.. kisa kiki ya mziki.. huyu hamjui Zari.. walikitania Madale au Tandale alipowakutanisha??

Ua jeusi halijamuacha salama chati imepungua.. asali apande tena.
Nenda ukabembelezane na kahaba mwenzio
 
Kwani tatizo liko wapi?
Ye kachepuka na pa skwea,we nawe ukawa unachepuka na akina tunda sabasita na hamissa chuchunge..
Hamna shida
Malaya mlikutana
 
Mahusiano yalivyo ukiwa na msaliti halafu mazingira yako ya kazi kuna mtu anaitaka nafasi ya msaliti lazima uingie kwenye wakari mgumu kidogo
 
Kwani tatizo liko wapi?
Ye kachepuka na pa skwea,we nawe ukawa unachepuka na akina tunda sabasita na hamissa chuchunge..
Hamna shida
Malaya mlikutana
Diamond ameshasema hakuwa amefika ki vile bi tukinao aliyalazimisha mno mapenzi na mtoto ghafla
 
Diamond ameshindwa kupata mwanamke mwenyekiti Kiki Kama Zari au Wema ndo maaana sasahivi anastruggle mbaya zaidi inaonekana Zari ameamua kumove on na maisha nadhani Diamond alitegemea kitu Cha tofauti za Zari alivyoreact.

Diamond anategemea skendo kuiendesha maisha ya muziki na biashara zake. Na mwanamke alienae Sasa Hana nguvu hiyo

Haiwezekani mtu aliekucheat ukasema utaenda kumuomba msamaha hata kwa magoti, how? Kwenye interview unasema Zari alikupenda kuliko wewe ulivyompenda mbele Tena kidogo unasema ulimtuma Babu Tale South Africa muyamalize na Zari ila lazima Zari akubali aje kuishi Tanzania, yaani mtu humpendi unaenda kumuomba ahame South aje muishi Tanzania wote, how?

Umesema ulimuomba Zari watoto wake Tanzania hapo hapo unasema ujaongea nao tangu October mwaka Jana. Maana yake hapo hakuna connection na affection Kati yako na wototo hapo watoto watakuona Kama stranger tu. Hapo huwezi jua mtoto anapenda Nini, akiumwa anaonyesha sign gani, anapenda chakula gani
Hakuna mwanamke atakukabidhi watoto katika mazingira hayo.
 
Pumba
 
Back
Top Bottom