blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
Begin....WHEN LOVE ENDS LIES BEGUN
Embu kueni makini na lugha ya Malkia tafadhali.. Waganda wapo kwenye uzi huu..wanaufuatilia kwa karibu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Begin....WHEN LOVE ENDS LIES BEGUN
[emoji2] [emoji2]mbona hueleweki ulichoandika? usipanic sana mama,mapenzi yalikua yao wenyewe
Nyimbo inaitwa Moyo fid Q ft Christian bella,.Hate ni mbaya sana, Farid kubanda aliimba Hakika chuki humchoma anaeihifadhi nyimbo inaitwa sihitaji marafiki
Sasa hapo si ndo kasema mwanamke akizingua na yeye atampiga matukio hadi aondoke mwenyewe?Mbona na yeye alichepuka mpaka na kuzaa nje? Aliwahi kuhojiwa alikanusha kuwa hakuwa na mahusiano na hamisa. Wote hamkutulia mnaishia kulaumiana tu
Alipigwa matukio mpaka aliamua mwenyewe kupost black roseSasa hapo si ndo kasema mwanamke akizingua na yeye atampiga matukio hadi aondoke mwenyewe?
Mjinga sana huyu kijanaThe fact kasema leo huo upuuzi,hio ni public stunt kama zilivyo nyengine mxiuuuuuuuuuuuuu
Amekuja juu kishenziMbona una comment kwa hasira mama?[emoji23][emoji23]
Pole sana
Nenda ukabembelezane na kahaba mwenzioKama hana la kuongea anyamaze.. kwa sababu alisapoti mziki wa P square wakati wenzake wametoa alizoshiriki ndio anaongea upuuzi huo.. kisa kiki ya mziki.. huyu hamjui Zari.. walikitania Madale au Tandale alipowakutanisha??
Ua jeusi halijamuacha salama chati imepungua.. asali apande tena.
😂😂😂😂😂😂😂😂Nenda ukabembelezane na kahaba mwenzio
nionyeshe tatizo kwenye huo mstari,otherwise acha shobo!!Duhhh.... Mkuu andika kiswahili tu..
Mahusiano yalivyo ukiwa na msaliti halafu mazingira yako ya kazi kuna mtu anaitaka nafasi ya msaliti lazima uingie kwenye wakari mgumu kidogoKwani tatizo liko wapi?
Ye kachepuka na pa skwea,we nawe ukawa unachepuka na akina tunda sabasita na hamissa chuchunge..
Hamna shida
Malaya mlikutana
Diamond ameshasema hakuwa amefika ki vile bi tukinao aliyalazimisha mno mapenzi na mtoto ghaflaKwani tatizo liko wapi?
Ye kachepuka na pa skwea,we nawe ukawa unachepuka na akina tunda sabasita na hamissa chuchunge..
Hamna shida
Malaya mlikutana
them bitches care....As long as i know men are always right, then who cares ?
PumbaDiamond ameshindwa kupata mwanamke mwenyekiti Kiki Kama Zari au Wema ndo maaana sasahivi anastruggle mbaya zaidi inaonekana Zari ameamua kumove on na maisha nadhani Diamond alitegemea kitu Cha tofauti za Zari alivyoreact.
Diamond anategemea skendo kuiendesha maisha ya muziki na biashara zake. Na mwanamke alienae Sasa Hana nguvu hiyo
Haiwezekani mtu aliekucheat ukasema utaenda kumuomba msamaha hata kwa magoti, how? Kwenye interview unasema Zari alikupenda kuliko wewe ulivyompenda mbele Tena kidogo unasema ulimtuma Babu Tale South Africa muyamalize na Zari ila lazima Zari akubali aje kuishi Tanzania, yaani mtu humpendi unaenda kumuomba ahame South aje muishi Tanzania wote, how?
Umesema ulimuomba Zari watoto wake Tanzania hapo hapo unasema ujaongea nao tangu October mwaka Jana. Maana yake hapo hakuna connection na affection Kati yako na wototo hapo watoto watakuona Kama stranger tu. Hapo huwezi jua mtoto anapenda Nini, akiumwa anaonyesha sign gani, anapenda chakula gani
Hakuna mwanamke atakukabidhi watoto katika mazingira hayo.