Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Huyu jamaa mwenyewe ni kitombi..ana hali ya kumsema mwenzie wakati ye anafanya yaleyale?
Mahusiano yalivyo ukiwa na msaliti halafu mazingira yako ya kazi kuna mtu anaitaka nafasi ya msaliti lazima uingie kwenye wakari mgumu kidogo
 
Kwani tatizo liko wapi?
Ye kachepuka na pa skwea,we nawe ukawa unachepuka na akina tunda sabasita na hamissa chuchunge..
Hamna shida
Malaya mlikutana
Nashangaa watu wanavyo toleana povu hali ya kuwa malaya wawili walianziasha mahusiano. Zari alikuwa anavizia Diamond awe Tanzania achepuke vile vile Domo nae akiwa TZ bila kuwepo Zari anachepuka.
 
Nimeangalia Interview yote na Zari aliuliza na kusema vitu viwili kwenye insta yake lakini hakuna mahala amekanusha hiyo habari kwahiyo acha kujifanya msemaji wake,,, usiwe unaegemea upande mmoja kuna time huyo demu alimfananjsha mchizi na mbwa mbona jamaa alikausha ila leo kaguswa yeye naona mashabiki wake mnatetema kumbuka Zari yeye binadamu na ana Mbunye kama wewe sishangai kuchepuka

1556081711191.jpg



1556081777952.jpg
 
Ukizaa na mtu mheshimu sana sana ata kama hamko pamoja...

Kumdhalilisha mzazi mwenzio ni sawa na kujidhalilisha na kudhalilisha mtoto/watoto wako...
Yule kijana yupo Tayari kufanya lolote kwajili ya pesa
Yupo Tayari hata kudhalilisha mama yake mzazi kwa ajili ya Kiki Mambo yake yaende

Kufanya vitu vya kipuuzi mbele ya mama yako Ni kumtukana hadharani kwa tafsiri ya hukupata malezi bora
 
Kama hana la kuongea anyamaze.. kwa sababu alisapoti mziki wa P square wakati wenzake wametoa alizoshiriki ndio anaongea upuuzi huo.. kisa kiki ya mziki.. huyu hamjui Zari.. walikitania Madale au Tandale alipowakutanisha??

Ua jeusi halijamuacha salama chati imepungua.. asali apande tena.
Wewe unamjua zari ?. Mnafikiri nyinyi ndiyo wakweli. Daimond ndiyo alikuwa anaishi na zari. Sisi Ni ma observer tu. So alichosema dai inaweza kuwa kweli ama uongo. So acha kutoa povu kwa kile usichokijua.
 
Kaulizwa maswali na Aaliyah na Jonijoo ulitaka ajibu nini angalia vitu anavyopost sasa hivi Zari kachanganyikiwa anajibu mapigo
Mkuu kweli wewe ni mmbea yaani mara hii umeshaenda had I kwenye akaunti ya zari?
 
Kaona kulipa watu instagram kumchafua Zari kumebuma, kaamua kumchafua mwenyewe. Eeeeeeh mbona hakumuacha kabla.. muongo sana huyo libaba.
Unakuwa naye akiwa anawalipa watu Instagram??

Acha kuweweseka kwa usichokijua. Au nawew ulipitiwa na dai akakuacha nini??
 
Back
Top Bottom