Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Kweli kabisa tena amekiri kuwa yeye Diamond alikua akihangaika na mahusiano mengine lkn mdada alitulia. Lkn hii statement ya kwamba Zari alimpenda kuliko yeye alivyompenda nahisi ni defence tu. Fact ni kwamba wote wameachana haijalishi nani alianza kumuacha mwenzake maana naona kijana anaifanya kuwa big deal yeye kuacha
 
Ivi wewe umesikikiza redio vizuri??

Au umesikikizia matakoni. Rudia kusikiliza vizuri uelewe.
 
Wadangaji bana
 
Huo ndo ukweli mtu uliemuacha Tena humpendi huwezi kureact hivi Tena baada ya mwaka kupita na ukawa na wanawake wengine zaidi
 
Ivi wewe umesikikiza redio vizuri??

Au umesikikizia matakoni. Rudia kusikiliza vizuri uelewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Mbona hueleweki wewe unaandika kama mlevi wa cocaine?
 
Ivi wewe umesikikiza redio vizuri??

Au umesikikizia matakoni. Rudia kusikiliza vizuri uelewe.
Kuandika hivi maana yake umekosa point mtu mzima na akili zako huwezi kumjibu mwenzio hivi hata mama yako akisoma ataishia kusikitika pamoja na malezi aliokupa
 
hahahahahahahahahaha *ila domo fala saana yani kajua kuwachezea akili na kiki yake maana kakomba kijiji choote toka insa whatsapp mpaka jf*
Ni ujinga Diamond kashakuwa mkubwa Sana Tanzania hii kutegemea Kiki za hivi hata wakina Mbosso wanatoa kazi Bila Kiki na wanahit

Diamond kwa Sasa Kiki zake zilipaswa Kama wenzio wakina Wizikid na Davido kupandishwa stegini na Drake , kuperform matamasha makubwa Kama summer jam au Cocheala

Sasa msanii namba 1 Tanzania anategemea Kiki za kina Zari na Hamisa ili kazi iende seriously? Sasa wakina lavalava wafanyaje?
Hii ni 2019 aiseee
 
Jamaa ashaishiwa upepo, hana jipya.

Bado kutangaza tu analiwa jicho ili apate KIKI, maana nyingi zishaeleweka
 
Mama UA lilitolewa baada ya maumivu makali sana. Diamond ndoa kamuacha huyo malaya zari kama hujui
Ile valentine hadi jioni hakukuwa na insta wala Facebook kutoka kwa baba T na dadaa mtu wa mitandao hivyo aliamua kumaliza kabisa na baba T akasena hureee 👏🏾👏🏾👏🏾
 
Huo ndo ukweli mtu uliemuacha Tena humpendi huwezi kureact hivi Tena baada ya mwaka kupita na ukawa na wanawake wengine zaidi
Diamond kachoka kuvumilia, alimheshimu na akakaa kimya lakini watu huwa wepesi sana kusahau, hakuna siku Zari anaposti bila kumpiga dongo Diamond, hata hiyo ya juzi akimposti bwana ake mpya bado alimdis Diamond, kamchokoza mwenyewe na akiendelea ndo atamwacha uchi kabisa mswahili si wa kuchezea.
 
Duuh kama Diamond weli kaongea hivi-watoto na nyumba ndio imetoka
Karatasi za nyumba zimeandikwa jina la nani? Watoto watakuja tu hawana baba mwingine chini ya jua zaidi ya diamond
 
Aise mwenye anafahamu ofisi ya WCB ilipo anielekeze nina shida nao please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…