Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Tiffah si anaendaga kanisani jumapili [emoji28][emoji28][emoji28]
Before alikua akisali anamtaja baba ake na bibi yake. Saiv sijamsikia akiwataja
Hivi Zari sio muislamu Samahani kwa maswali yangu best
 
Chibu na hela zake bado wahuni wamemmegea hiv wanawake huwa wanataka nn? bado wapo waliotuaminisha kwamba jamaa on bed yupo romantic sjui ana hogo na mengine mengi lkn still bado kamegewa tena ukute hadi kisanvu katoa dadeki kweli mwanamke noma.
Chibu ana hela P square ana private jet zali lazima agongwe tu hakuna namna.
 
Diamond ameshindwa kupata mwanamke mwenyekiti Kiki Kama Zari au Wema ndo maaana sasahivi anastruggle mbaya zaidi inaonekana Zari ameamua kumove on na maisha nadhani Diamond alitegemea kitu Cha tofauti za Zari alivyoreact.

Diamond anategemea skendo kuiendesha maisha ya muziki na biashara zake. Na mwanamke alienae Sasa Hana nguvu hiyo

Haiwezekani mtu aliekucheat ukasema utaenda kumuomba msamaha hata kwa magoti, how? Kwenye interview unasema Zari alikupenda kuliko wewe ulivyompenda mbele Tena kidogo unasema ulimtuma Babu Tale South Africa muyamalize na Zari ila lazima Zari akubali aje kuishi Tanzania, yaani mtu humpendi unaenda kumuomba ahame South aje muishi Tanzania wote, how?

Umesema ulimuomba Zari watoto wake Tanzania hapo hapo unasema ujaongea nao tangu October mwaka Jana. Maana yake hapo hakuna connection na affection Kati yako na wototo hapo watoto watakuona Kama stranger tu. Hapo huwezi jua mtoto anapenda Nini, akiumwa anaonyesha sign gani, anapenda chakula gani
Hakuna mwanamke atakukabidhi watoto katika mazingira hayo.
Asante mkuu
ila Dai haya yote ya nini waweke hakiba ya maneno jamani ,mana hawa ni wazazi no matter what watakutana tu kwa namna moja au nyingine.
 
Noo! Sidhani, nazani hujawahi kuhojiwa na press hata moja unajibu kile ulichoulizwa hivyo vyote mondi hajajisemea tu ilimradi ni kaulizwa
Majibu yake kwa Press yanatokana na hayo maneno ya X wake akimwambia Present wake. Si busara wala Heshima kutoa siri za Mzazi mwenzio hadharani. Anasukumwa na maumivu au nguvu ya haya maneno.
 
Umeona, eh... Mimi nilifiiri kuwa Diamond angejifunza kama Obama alivyojifunza na kuchukuwa njia tofauti.
anachomfanyia baba yake ndio watoto wake wanatengenezwa waje kumfanyia yeye baadae na litafanikiwa tu
 
Majibu yake kwa Press yanatokana na hayo maneno ya X wake akimwambia Present wake. Si busara wala Heshima kutoa siri za Mzazi mwenzio hadharani. Anasukumwa na maumivu au nguvu ya haya maneno.
Una habari Tanashe ana mimba?
 
Bidada hajatumia mgongo wa zari kaulizwa maswali na jonijoo akiwepo na mzee abduly ndani akajibu inavyotakiwa na kina vingine pengine hujavisikia huko IG au hapa.
Kasema ile nyumba ya SA ni yake anauwezo wa kuiuza ila anawapenda wanae sana pili ana dem mkali mtoto jojo anamiaka 24 alafu ana hela. Hizi mambo ni inspiration kwetu vijana wengine ila wewe waeza ona ni ujinga.

Kaajiri watu kibao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo inspiration anazowapa Diamond hizo?
 
Sema story ya Zari na Peter kitambo kweli kumbe hawakuachanaga?

Haya wale wa bidada bosslady kumbe anadanga tu kama Sisi waje waone alivyokua anakitembeza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanavyojuaga kumtetea na mauchafu yake kama anawalipa. Kweli mahaba upofu.
 
Diamond loves Zari
Still hates her for dumping her in public with a black rose.

Babutale was sent to beg her last year in June, Zari did not agree. He went himself last October and he was told again and again it was over.

Poor him, seems Tanasha is not all that to him.
 
Wengi wamemjua Zari kupitia diamond ila cha ajabu wanamdharau diamond kwa sababu ni mwanaume ambaye anajaribu kuficha aibu ya mama wa watoto wake..

Huyu zari nae hana tofauti na tulionao bongo na tena akheri wao hawana hata sex tapes mitandaoni, huyu ni seller kama seller wengine ila kwa kuwa ni wale wanaojiweka classy baada ya kukaribia retirement age plus ugeni na English anaonekana wa maana sana bongo..

Siafiki diamond alichokifanya ingawa najua ni biashara tu lakini Zari is overhyped..
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mwanamume wa kweli hamzungumzii vibaya ex wake hasa wakiwa wamebarikiwa kupata watoto pamoja.
Full stop

Ukiona mwanaume anabwabwaja kuhusu ex wake jua ameumia
Yaani mwanaume ukiwa na demu humpendi hata ukisikia kagongwa na rafiki yako ndo Kwanza utaishia kucheka
 
Mimi simtetei Zari ila Diamond kazidi ana atulizi kifimbo chake
Wote wamezidi acha wachafuane tu maana wote wale wale.
Mtu mzima yule mama wa watatu kwenda kujidhalilisha kwa kitoto kile kisa umaarufu na pesa aliyataka mwenyewe.

Huyu jamaa ni mswahiliiii na mdhalilishaji sijapata kuona ila bado wanambabaikia tu kisa pesa na umaarufu. Mwana kuyataka mwana kuyapata.

Zari alichekelea mwenzie alivyodhalilishwa hakujua kuwa nae siku yake yaja. Mswahili ni mswahili tu ukichangia na malezi mabovu basi tena.
 
Back
Top Bottom