Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Zari sio muislamu Samahani kwa maswali yangu bestTiffah si anaendaga kanisani jumapili [emoji28][emoji28][emoji28]
Before alikua akisali anamtaja baba ake na bibi yake. Saiv sijamsikia akiwataja
Chibu ana hela P square ana private jet zali lazima agongwe tu hakuna namna.Chibu na hela zake bado wahuni wamemmegea hiv wanawake huwa wanataka nn? bado wapo waliotuaminisha kwamba jamaa on bed yupo romantic sjui ana hogo na mengine mengi lkn still bado kamegewa tena ukute hadi kisanvu katoa dadeki kweli mwanamke noma.
Asante mkuuDiamond ameshindwa kupata mwanamke mwenyekiti Kiki Kama Zari au Wema ndo maaana sasahivi anastruggle mbaya zaidi inaonekana Zari ameamua kumove on na maisha nadhani Diamond alitegemea kitu Cha tofauti za Zari alivyoreact.
Diamond anategemea skendo kuiendesha maisha ya muziki na biashara zake. Na mwanamke alienae Sasa Hana nguvu hiyo
Haiwezekani mtu aliekucheat ukasema utaenda kumuomba msamaha hata kwa magoti, how? Kwenye interview unasema Zari alikupenda kuliko wewe ulivyompenda mbele Tena kidogo unasema ulimtuma Babu Tale South Africa muyamalize na Zari ila lazima Zari akubali aje kuishi Tanzania, yaani mtu humpendi unaenda kumuomba ahame South aje muishi Tanzania wote, how?
Umesema ulimuomba Zari watoto wake Tanzania hapo hapo unasema ujaongea nao tangu October mwaka Jana. Maana yake hapo hakuna connection na affection Kati yako na wototo hapo watoto watakuona Kama stranger tu. Hapo huwezi jua mtoto anapenda Nini, akiumwa anaonyesha sign gani, anapenda chakula gani
Hakuna mwanamke atakukabidhi watoto katika mazingira hayo.
Majibu yake kwa Press yanatokana na hayo maneno ya X wake akimwambia Present wake. Si busara wala Heshima kutoa siri za Mzazi mwenzio hadharani. Anasukumwa na maumivu au nguvu ya haya maneno.Noo! Sidhani, nazani hujawahi kuhojiwa na press hata moja unajibu kile ulichoulizwa hivyo vyote mondi hajajisemea tu ilimradi ni kaulizwa
anachomfanyia baba yake ndio watoto wake wanatengenezwa waje kumfanyia yeye baadae na litafanikiwa tu
Anafanyaga dua nyumbani kwake anaita ustadh na jumapili anaenda kanisani. Kwahiyo hapo sijui kwakweliHivi Zari sio muislamu Samahani kwa maswali yangu best
KwaiyoKila siku yeye analalamika wanacheat. Hapo anajidhalilisha na mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hasa mkeMapenzi yanauma,kumegewa kunauma zaidi hahahahahaa
Una habari Tanashe ana mimba?Majibu yake kwa Press yanatokana na hayo maneno ya X wake akimwambia Present wake. Si busara wala Heshima kutoa siri za Mzazi mwenzio hadharani. Anasukumwa na maumivu au nguvu ya haya maneno.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo inspiration anazowapa Diamond hizo?Bidada hajatumia mgongo wa zari kaulizwa maswali na jonijoo akiwepo na mzee abduly ndani akajibu inavyotakiwa na kina vingine pengine hujavisikia huko IG au hapa.
Kasema ile nyumba ya SA ni yake anauwezo wa kuiuza ila anawapenda wanae sana pili ana dem mkali mtoto jojo anamiaka 24 alafu ana hela. Hizi mambo ni inspiration kwetu vijana wengine ila wewe waeza ona ni ujinga.
Kaajiri watu kibao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema story ya Zari na Peter kitambo kweli kumbe hawakuachanaga?
Haya wale wa bidada bosslady kumbe anadanga tu kama Sisi waje waone alivyokua anakitembeza
Aisee kumpa shida mtoto kiimaniAnafanyaga dua nyumbani kwake anaita ustadh na jumapili anaenda kanisani. Kwahiyo hapo sijui kwakweli
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji28][emoji28][emoji28]Wengi wamemjua Zari kupitia diamond ila cha ajabu wanamdharau diamond kwa sababu ni mwanaume ambaye anajaribu kuficha aibu ya mama wa watoto wake..
Huyu zari nae hana tofauti na tulionao bongo na tena akheri wao hawana hata sex tapes mitandaoni, huyu ni seller kama seller wengine ila kwa kuwa ni wale wanaojiweka classy baada ya kukaribia retirement age plus ugeni na English anaonekana wa maana sana bongo..
Siafiki diamond alichokifanya ingawa najua ni biashara tu lakini Zari is overhyped..
Mimi simtetei Zari ila Diamond kazidi ana atulizi kifimbo chake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanavyojuaga kumtetea na mauchafu yake kama anawalipa. Kweli mahaba upofu.
Full stopMwanamume wa kweli hamzungumzii vibaya ex wake hasa wakiwa wamebarikiwa kupata watoto pamoja.
mond ni akili kubwa sana hakuwa na papara hata kidogo .... i salute mond
Wote wamezidi acha wachafuane tu maana wote wale wale.Mimi simtetei Zari ila Diamond kazidi ana atulizi kifimbo chake