Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Tiffah si anaendaga kanisani jumapili [emoji28][emoji28][emoji28]
Before alikua akisali anamtaja baba ake na bibi yake. Saiv sijamsikia akiwataja
Hivi Zari sio muislamu Samahani kwa maswali yangu best
 
Chibu na hela zake bado wahuni wamemmegea hiv wanawake huwa wanataka nn? bado wapo waliotuaminisha kwamba jamaa on bed yupo romantic sjui ana hogo na mengine mengi lkn still bado kamegewa tena ukute hadi kisanvu katoa dadeki kweli mwanamke noma.
Chibu ana hela P square ana private jet zali lazima agongwe tu hakuna namna.
 
Asante mkuu
ila Dai haya yote ya nini waweke hakiba ya maneno jamani ,mana hawa ni wazazi no matter what watakutana tu kwa namna moja au nyingine.
 
Noo! Sidhani, nazani hujawahi kuhojiwa na press hata moja unajibu kile ulichoulizwa hivyo vyote mondi hajajisemea tu ilimradi ni kaulizwa
Majibu yake kwa Press yanatokana na hayo maneno ya X wake akimwambia Present wake. Si busara wala Heshima kutoa siri za Mzazi mwenzio hadharani. Anasukumwa na maumivu au nguvu ya haya maneno.
 
Umeona, eh... Mimi nilifiiri kuwa Diamond angejifunza kama Obama alivyojifunza na kuchukuwa njia tofauti.
anachomfanyia baba yake ndio watoto wake wanatengenezwa waje kumfanyia yeye baadae na litafanikiwa tu
 
Majibu yake kwa Press yanatokana na hayo maneno ya X wake akimwambia Present wake. Si busara wala Heshima kutoa siri za Mzazi mwenzio hadharani. Anasukumwa na maumivu au nguvu ya haya maneno.
Una habari Tanashe ana mimba?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo inspiration anazowapa Diamond hizo?
 
Sema story ya Zari na Peter kitambo kweli kumbe hawakuachanaga?

Haya wale wa bidada bosslady kumbe anadanga tu kama Sisi waje waone alivyokua anakitembeza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanavyojuaga kumtetea na mauchafu yake kama anawalipa. Kweli mahaba upofu.
 
Diamond loves Zari
Still hates her for dumping her in public with a black rose.

Babutale was sent to beg her last year in June, Zari did not agree. He went himself last October and he was told again and again it was over.

Poor him, seems Tanasha is not all that to him.
 
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji28][emoji28][emoji28]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanavyojuaga kumtetea na mauchafu yake kama anawalipa. Kweli mahaba upofu.
Mimi simtetei Zari ila Diamond kazidi ana atulizi kifimbo chake
 
Mwanamume wa kweli hamzungumzii vibaya ex wake hasa wakiwa wamebarikiwa kupata watoto pamoja.
Full stop

Ukiona mwanaume anabwabwaja kuhusu ex wake jua ameumia
Yaani mwanaume ukiwa na demu humpendi hata ukisikia kagongwa na rafiki yako ndo Kwanza utaishia kucheka
 
Mimi simtetei Zari ila Diamond kazidi ana atulizi kifimbo chake
Wote wamezidi acha wachafuane tu maana wote wale wale.
Mtu mzima yule mama wa watatu kwenda kujidhalilisha kwa kitoto kile kisa umaarufu na pesa aliyataka mwenyewe.

Huyu jamaa ni mswahiliiii na mdhalilishaji sijapata kuona ila bado wanambabaikia tu kisa pesa na umaarufu. Mwana kuyataka mwana kuyapata.

Zari alichekelea mwenzie alivyodhalilishwa hakujua kuwa nae siku yake yaja. Mswahili ni mswahili tu ukichangia na malezi mabovu basi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…