cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
bibiii upooo... 😀😀 hebu jaribu hiyo nafasi ya zari uwe wewe alafu ndo utajua kuwa MONDI hatanii nahivi ulivo mzee hivyo yaani wewe bora uwe mpole tu kama anavo taka vinginevyo KIBUTI KINAKUJIA FASTAAA.. UKIMZINGUA ANAKUZINGUA KINOMAA!!
UPOOO BIBIII.... Hhahahahahaaaa😀😀
hatahivyo hiyo siyo type yako utaumbuka bure ukiombwa mambo yetu utaweza kutoaa?? ZARI angalao alimudu kiasi fulani ila MONDI alikuwa anamuenjoy tu.
Hamisa alimkomesha tukinao.
Hakutegemea kabisa na yale matusi akamtukana bure
Niliiona you tube Esma ana hojiwa kipindi Diamond kaenda Tandale kutoa msaada,Muandishi akawa ana muuliza vipi hali ya wapenzi wako ulio waacha hapa Tandale hili ndio jibu eti "Ex zangu vimechokachoka kwa Sasa hawawezi kuwa nami hatuendani" Nilichoka bibie ana dharau yule ufupi kama mbegu za ubuyu.Ile familia ina shida sana. Yani pamoja na hela na umaarufu ila uswahili umegoma kabisa kuwatoka.
Wametoka tandale ila utandale haujawatoka bado
Kilichomuuma zaidi ni kuwa mtoto aliingilia kitanda kile kile anchotolea yeye ma style
Ila Zari sijui alijiamini nini yule mwanamke.Alijua atamshika masikio Diamond kama ilivyokua kwa Ivan. Sasa pale ukidate na Diamond unadate na mama Diamond angewezaje kuwashika masikio watu wawili.
Aliambiwa Kigoma hatoki boyAlijua atamshika masikio Diamond kama ilivyokua kwa Ivan. Sasa pale ukidate na Diamond unadate na mama Diamond angewezaje kuwashika masikio watu wawili.
Akina vera wale wameshindikana hawana cha kupoteza maana hawana watoto na sidhani kama wana mpango huo. Ila sasa huyu mama ndio simuelewi.Staajabu na wewe
Yule hata hafikirii watoto wataonaje..itawaathiri vipi.
Hajali hilo
Bado waje kuona ile video mama anajipiga puchu huku msitu upo nje..ashukuru hakunyoa kwenye ile video.
We mtu ana ushosti na wakina vera unatarajia aweje?
Sijui yani. Alijiona ana K ya dhahabuIla Zari sijui alijiamini nini yule mwanamke.
Kaamini sasa hivi naonaAliambiwa Kigoma hatoki boy
Pesa huwa zinaonyesha tabia za mtu zilizokua zimefichwa na umasikini.Niliiona you tube Esma ana hojiwa kipindi Diamond kaenda Tandale kutoa msaada,Muandishi akawa ana muuliza vipi hali ya wapenzi wako ulio waacha hapa Tandale hili ndio jibu eti "Ex zangu vimechokachoka kwa Sasa hawawezi kuwa nami hatuendani" Nilichoka bibie ana dharau yule ufupi kama mbegu za ubuyu.
Asante mama mie nakula ubuyu tuuHahahaaaa nimepita tu hili segere halihusu nafanya kujinywea kajuice tu hapa, karibu
Kimuonekano hajui mapenzi kama Wema hakujiuliza why Domo hakutulia kwa Uzuri na shepu Joketi yuko vizuri na kichwani zimo yeye alijikuta keki.Sijui yani. Alijiona ana K ya dhahabu
Kiukweli hata mm kanishangaza sana, zaidi ya mwaka sasa anakuja kuibuka na hizo mambo!!Sina chuki na mtu yeyote, ila ninachosema ni kwamba jamaa ni MALAYA ALIYEKUBUHU anayePRETEND Victim kila wakati.
Mwanamume rijali huwezi kwenda kwenye show na demu wako unaemheshimu halafu unabaki KUBAMBIA BAMBIA mademu jukwaani kama choko la uswazi na yeye akiwepo.
Inshort walishaaachana na yeye anaendeleza KIKI za ndoa na TANASHA, sasa kinachomfanya aanze kumchafua Zari ni nini ?
Lakini pia Peter ana familia yake, mke na watoto, sasa jamaa haoni anafanya uchoko kutaka kuvuruga ndoa ya Peter ambaye hata hana makuu na alimsaidia sana wakati wa Collabo yao ?
Yaani hawa jamaa wako tayari kufanya chochote kwaajili ya pesa na umaarufu hata kama ni kwa kuumiza HISIA za INNOCENTS
Yaan anapit kule kule walikopita wenzakeHuyu mwenyewe wa sasa hivi alikua mwanamke wa Salaam na Diamond hawezi kumuoa kamwe.
Mjinga na yeye kaamua kuwa baby mama namba 3. She's 4 month pregnant.
Ni maamuzi anayoamua bila kufikiria tofauti iliyopo kati ya yeye na wenzie..Akina vera wale wameshindikana hawana cha kupoteza maana hawana watoto na sidhani kama wana mpango huo. Ila sasa huyu mama ndio simuelewi.
Kweli Sisi mwalimu wetu kipofuYaan anapit kule kule walikopita wenzake
Loh..umechelewajeHeee nilikua sijui kumbe yale ni magari ya Zari!(sio ya kingbae wala ginimbi aisee) Huyu mama ana hela kila siku anabadili magari bei kubwa kubwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Loh..umechelewaje
Zari ana helaaa
Japo na mapungufu yake na madudu ila dai hatokuja mpata mwanamke kama zari...aendelee na vicheap cheap akina tanasha na Lynn.