Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

bibiii upooo... 😀😀 hebu jaribu hiyo nafasi ya zari uwe wewe alafu ndo utajua kuwa MONDI hatanii nahivi ulivo mzee hivyo yaani wewe bora uwe mpole tu kama anavo taka vinginevyo KIBUTI KINAKUJIA FASTAAA.. UKIMZINGUA ANAKUZINGUA KINOMAA!!
UPOOO BIBIII.... Hhahahahahaaaa😀😀
hatahivyo hiyo siyo type yako utaumbuka bure ukiombwa mambo yetu utaweza kutoaa?? ZARI angalao alimudu kiasi fulani ila MONDI alikuwa anamuenjoy tu.

Mie nimeshamalizana na ya uzi huu.. unaniitia nini wewe babu kizee?
 
Ile familia ina shida sana. Yani pamoja na hela na umaarufu ila uswahili umegoma kabisa kuwatoka.
Wametoka tandale ila utandale haujawatoka bado
Niliiona you tube Esma ana hojiwa kipindi Diamond kaenda Tandale kutoa msaada,Muandishi akawa ana muuliza vipi hali ya wapenzi wako ulio waacha hapa Tandale hili ndio jibu eti "Ex zangu vimechokachoka kwa Sasa hawawezi kuwa nami hatuendani" Nilichoka bibie ana dharau yule ufupi kama mbegu za ubuyu.
 
Anawaumiza watoto bila kujijua kwa kweli hana hekima
Siku wakikuwa na kumtenga msiulize mengi kama mnavyouliza baina yake na baba yake bila kujua kitu gani nyuma ya pazia
Hata wapatane lakini wamechafua hali ya hewa
Nae ajiandae kwa Watoto wake
What goes around comes around
 
Alijua atamshika masikio Diamond kama ilivyokua kwa Ivan. Sasa pale ukidate na Diamond unadate na mama Diamond angewezaje kuwashika masikio watu wawili.
Ila Zari sijui alijiamini nini yule mwanamke.
 
Staajabu na wewe
Yule hata hafikirii watoto wataonaje..itawaathiri vipi.
Hajali hilo
Bado waje kuona ile video mama anajipiga puchu huku msitu upo nje..ashukuru hakunyoa kwenye ile video.
We mtu ana ushosti na wakina vera unatarajia aweje?
Akina vera wale wameshindikana hawana cha kupoteza maana hawana watoto na sidhani kama wana mpango huo. Ila sasa huyu mama ndio simuelewi.
 
Niliiona you tube Esma ana hojiwa kipindi Diamond kaenda Tandale kutoa msaada,Muandishi akawa ana muuliza vipi hali ya wapenzi wako ulio waacha hapa Tandale hili ndio jibu eti "Ex zangu vimechokachoka kwa Sasa hawawezi kuwa nami hatuendani" Nilichoka bibie ana dharau yule ufupi kama mbegu za ubuyu.
Pesa huwa zinaonyesha tabia za mtu zilizokua zimefichwa na umasikini.
Hapo hela sio zake zingekua zake yule andunje mbona watu wangekoma.
Petit man mwenyewe alimtongoza sababu nj mdogo wa ndugu wa Diamond wala sio kwamba alimpenda kiviiiile
 
Sina chuki na mtu yeyote, ila ninachosema ni kwamba jamaa ni MALAYA ALIYEKUBUHU anayePRETEND Victim kila wakati.

Mwanamume rijali huwezi kwenda kwenye show na demu wako unaemheshimu halafu unabaki KUBAMBIA BAMBIA mademu jukwaani kama choko la uswazi na yeye akiwepo.

Inshort walishaaachana na yeye anaendeleza KIKI za ndoa na TANASHA, sasa kinachomfanya aanze kumchafua Zari ni nini ?

Lakini pia Peter ana familia yake, mke na watoto, sasa jamaa haoni anafanya uchoko kutaka kuvuruga ndoa ya Peter ambaye hata hana makuu na alimsaidia sana wakati wa Collabo yao ?

Yaani hawa jamaa wako tayari kufanya chochote kwaajili ya pesa na umaarufu hata kama ni kwa kuumiza HISIA za INNOCENTS
Kiukweli hata mm kanishangaza sana, zaidi ya mwaka sasa anakuja kuibuka na hizo mambo!!
Za nini sasa na wkt kila mtu kesha move on na maisha yake.
 
Akina vera wale wameshindikana hawana cha kupoteza maana hawana watoto na sidhani kama wana mpango huo. Ila sasa huyu mama ndio simuelewi.
Ni maamuzi anayoamua bila kufikiria tofauti iliyopo kati ya yeye na wenzie..
Ifike mda sasa atambye hiyo tofauti..
Mama miaka 40 na watoto 5 unabehave na kuenenda kama binti wa miaka 20 aside na mtoto..
 
Heee nilikua sijui kumbe yale ni magari ya Zari!(sio ya kingbae wala ginimbi aisee) Huyu mama ana hela kila siku anabadili magari bei kubwa kubwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Loh..umechelewaje
Zari ana helaaa
Japo na mapungufu yake na madudu ila dai hatokuja mpata mwanamke kama zari...aendelee na vicheap cheap akina tanasha na Lynn.
 
Back
Top Bottom