Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Jamaa kampani zake siku hizi ni kina JUMA LOKOLE, Ukijumlisha na anavyogeukia mashabiki anawakatia mauno ( e.g Kenya ) na mashairi ya nyimbo yalivyojaa neno Msambwanda, sijui.umeongea ukweli kabisa mwanaume gani unakaa kushindana na sidiria huyo si atakua mwanaume dhaifu
Biblia inasema "Kinywa hunena yaliyoujaa moyo".
Wenzake kina DAVIDO wako busy wanapanda kwenye majukwaa makubwa kama SUMMER JAM, COCHEALLA, Wizkid anapanda majukwaani na kina TY DOLLAR SIGN na DRAKE, Yeye yuko busy INSTAGRAM anatukanana na vitoto vi-akina OFFICIAL LYYNN.