Kweli kabisa
"
Mungu hakupi unachotaka Mungu anakupa unachostahili"
na ndio maana Zari alimpata malaya mwenzake Mondi na sasa hivi na date na malaya mwengine ambaye anasuuza rungu na mda si mrefu watapigana chini sababu wote malaya ,hata huyu demu anayedate naye Mondi sasa hivi sizani kama kuna future.Nakumbuka nilishawahi kubishana na wewe kuhusu Mondi ,na ninakuambia Mondi atakuja kuoa mwanamke ambaye hamta mtarajia kabisa.Alafu mi si shangai Mondi kudate na wanawake wengi Bob Marley pamoja na IQ kubwa aliyokuwa nayo lakini anakopi kibao kutoka kwa wanawake mbalimbali.
View attachment 1079685