Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,194
Diamond amebakisha kuzaa na mwanamke kutoka Ghana na Nigeria 😀Habari ndo hiyo. Labda akaitoe. Huoni na sura imemvimba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diamond amebakisha kuzaa na mwanamke kutoka Ghana na Nigeria 😀Habari ndo hiyo. Labda akaitoe. Huoni na sura imemvimba
Eti nakupiga matukio mpaka ukimbie mwenyewe, kanajikuta sijui nani kale katoto. Chefuuuu.Diamond anachoumia kimoja tu. Alijua Zari atamng'ang'ania kama ile misukule yake mingine.
Kakutana na mtu mpaka video ya uchi anayo ahangaike na pizza delivery boy inahusu?
Diamond anatunza sana maumivu, alianza toka kwa Wema. Wakati wako na Wema, Wema alikuwa anamegwa na watu kibao ila tu Mond alikuwa kimya.Diamond ana kifua sana aisee,kaishi kwa machungu muda wote huo kumbe alikua anamegewa hahahah
You nailed it bossWengi wamemjua Zari kupitia diamond ila cha ajabu wanamdharau diamond kwa sababu ni mwanaume ambaye anajaribu kuficha aibu ya mama wa watoto wake..
Huyu zari nae hana tofauti na tulionao bongo na tena akheri wao hawana hata sex tapes mitandaoni, huyu ni seller kama seller wengine ila kwa kuwa ni wale wanaojiweka classy baada ya kukaribia retirement age plus ugeni na English anaonekana wa maana sana bongo..
Siafiki diamond alichokifanya ingawa najua ni biashara tu lakini Zari is overhyped..
wanawake mnaonewa ninyi tu kila siku,mkiambiwa ukweli mnakuja juu. tulieni sindani iingie vizuri.Kama aliweza kumkana mwanae mchana kweupe atashindwa kutunga story Kama hii.. ..diamond ni mshenz Sana kwenye mahusiano halafu ndio wa Kwanza ku play victim card
Advantage ya Zari kwa Sasa Ni biashara za Ivan ziko chini yake vyuo vyote vya Brooklyn City vipo chini yake yeye ndo CEO so pesa ya kumudu watoto hawezi kosa hata ukisikia Diamond anasema chanzo Cha kuachana Ni baada ya Zari kumgomea kuja kuishi Tanzania na yeye kukaa mwezi hawezi ndo akawa na Hamisa ndo Zari akamkatia mawasiliano kabisa hata kwa watoto Apo unaweza onaPersonally kwa kiasi nachomjua zarina sidhan kama ana hyo hela ya kuwatunza hao watoto
Hakuna mwanaume anayeweza kuhudumia watoto watano wa mchepuko hakuna no matter how worth he is
The only thing wote wawili wanashare ni ego
Wote wanataka kupambana kupata kiki ili media zimuone mmojawao bado wamo but mwisho wa siku watakaoumia ni watoto n thats the problem hawajatumia hekima hapa
Kwa case ya zari hata madanga yake yataanza kumkimbia sababu ipo aiku mbeleni atawaumbua kwa mwenzo huu
Kwa case ya diamond jamii itaanza kumdhara very soon sababu hakuna mwanaume anadharirisha mwanamke na jamii ikampe heshima thos kid has to learn that
Hivi kumbe hiyo ni sifa kwa mama mwenye watoto watano[emoji134][emoji134][emoji134]Ni tukinao anadanga yule..kila hadangi na watu cheapcheap..
Huyu jamaa angeishi hata miaka 45 nafikiri angekKweli kabisa
"
Mungu hakupi unachotaka Mungu anakupa unachostahili"
na ndio maana Zari alimpata malaya mwenzake Mondi na sasa hivi na date na malaya mwengine ambaye anasuuza rungu na mda si mrefu watapigana chini sababu wote malaya ,hata huyu demu anayedate naye Mondi sasa hivi sizani kama kuna future.Nakumbuka nilishawahi kubishana na wewe kuhusu Mondi ,na ninakuambia Mondi atakuja kuoa mwanamke ambaye hamta mtarajia kabisa.Alafu mi si shangai Mondi kudate na wanawake wengi Bob Marley pamoja na IQ kubwa aliyokuwa nayo lakini anakopi kibao kutoka kwa wanawake mbalimbali.
View attachment 1079685
Pizza delivery tena,cha ajabu mi ukinipa shilole na zali ntakula shilole zali filters tu afu anaonekana hana radha ya ugali orijino shilole anayo.Diamond anachoumia kimoja tu. Alijua Zari atamng'ang'ania kama ile misukule yake mingine.
Kakutana na mtu mpaka video ya uchi anayo ahangaike na pizza delivery boy inahusu?
umeongea ukweli kabisa mwanaume gani unakaa kushindana na sidiria huyo si atakua mwanaume dhaifuSina chuki na mtu yeyote, ila ninachosema ni kwamba jamaa ni MALAYA ALIYEKUBUHU anayePRETEND Victim kila wakati.
Mwanamume rijali huwezi kwenda kwenye show na demu wako unaemheshimu halafu unabaki KUBAMBIA BAMBIA mademu jukwaani kama choko la uswazi na yeye akiwepo.
Inshort walishaaachana na yeye anaendeleza KIKI za ndoa na TANASHA, sasa kinachomfanya aanze kumchafua Zari ni nini ?
Lakini pia Peter ana familia yake, mke na watoto, sasa jamaa haoni anafanya uchoko kutaka kuvuruga ndoa ya Peter ambaye hata hana makuu na alimsaidia sana wakati wa Collabo yao ?
Yaani hawa jamaa wako tayari kufanya chochote kwaajili ya pesa na umaarufu hata kama ni kwa kuumiza HISIA za INNOCENTS
Hhaahhaa watu bana hata hamjui loloteZari mdangaji tu, alidanga kwa Ben ten ili kupata umaarufu na alitumia exposure yake kumhandle dogo.
Hili mbona liko waziii lakini ndo vilee mzeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mondi aisee noma sana nimetokea kumkubali zaidiiiNImefurahi Diamond ameelewa kuwa Mwanamke akiachana na Mwanaume hutumia watoto kumuumiza mwanamme, SASA AJUE PIA MAMA YAKE ANAMTUMIA YEYE MOND KUMUUMIZA BABA MONDI, it is just a straight line mathematics MOND should know and behave maturely now.
NImefurahi Diamond ameelewa kuwa Mwanamke akiachana na Mwanaume hutumia watoto kumuumiza mwanamme, SASA AJUE PIA MAMA YAKE ANAMTUMIA YEYE MOND KUMUUMIZA BABA MONDI, it is just a straight line mathematics MOND should know and behave maturely now.
Na muda ni mchacheMambo yashakua mengi
Staajabu na weweHivi kumbe hiyo ni sifa kwa mama mwenye watoto watano[emoji134][emoji134][emoji134]
Lord have mercy.
Duuh Robert Marley Naye katisha sanaKweli kabisa
"
Mungu hakupi unachotaka Mungu anakupa unachostahili"
na ndio maana Zari alimpata malaya mwenzake Mondi na sasa hivi na date na malaya mwengine ambaye anasuuza rungu na mda si mrefu watapigana chini sababu wote malaya ,hata huyu demu anayedate naye Mondi sasa hivi sizani kama kuna future.Nakumbuka nilishawahi kubishana na wewe kuhusu Mondi ,na ninakuambia Mondi atakuja kuoa mwanamke ambaye hamta mtarajia kabisa.Alafu mi si shangai Mondi kudate na wanawake wengi Bob Marley pamoja na IQ kubwa aliyokuwa nayo lakini anakopi kibao kutoka kwa wanawake mbalimbali.
View attachment 1079685
Yule ni mdangaji na usishangae kuwa new husband ana business ya kueleweka.Staajabu na wewe
Yule hata hafikirii watoto wataonaje..itawaathiri vipi.
Hajali hilo
Bado waje kuona ile video mama anajipiga puchu huku msitu upo nje..ashukuru hakunyoa kwenye ile video.
We mtu ana ushosti na wakina vera unatarajia aweje?