Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Sijui kiba hundred ni nini lakini uungwana ni asili yangu. Tatizo la kutafuta funguo kubwa ni kwamba itambidi ajaribu sana kwa sababu funguo nyingi ni za kawaida. Na watu wataishia kumwona mama huruma. Bahati nzuri matundu ya kwenye milango yaliyo mengi pia ni ya kawaida. Kwa hiyo wenye funguo ndogo hawana haja ya kusikitika. Ndivyo binadamu tulivyoumbwa. Waasia wanaume wanasemekana kuwa wana maumbile madogo. Lakini hata wanawake wao pia ni hivyo hivyo. Funguo ndogo kwa tundu dogo.
[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu mbona umejibu kiungwana hivo au kiba hundred
 
Halafu wote wazuri. Hapo domo kabakiza tu kumkana Nillan cant wait hio siku
Yani hapo ukiweka na sura ya mondi unaweza sema zari alikua anacheat na mondi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yani kwa kupenda kuongelewa hakawii kusema hivyo.
 
Aiseee sio kwa gazeti hili hahahhaah
Kila funguo ina saizi ya tundu lake. Funguo ikiwa kubwa kuliko tundu haitaingia, inaweza hata vunjika. Wewe kama mlango wako una tundu kubwa usifikiri hiyo ni kwa kila mwanamke. Tafuta funguo kubwa. Wengine wako kawaida na wanahitaji watu wa kawaida. Usi-generalize, mama. Kama ulivyosema maumbile ni tofauti kwa wanaume na wanawake pia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]hapo ndo akili zinamruka na kwenda kulia lia redion
Yani hapo ukiweka na sura ya mondi unaweza sema zari alikua anacheat na mondi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yani kwa kupenda kuongelewa hakawii kusema hivyo.
 
duh brother kwani una chuki na mshkaji?
Sina chuki na mtu yeyote, ila ninachosema ni kwamba jamaa ni MALAYA ALIYEKUBUHU anayePRETEND Victim kila wakati.

Mwanamume rijali huwezi kwenda kwenye show na demu wako unaemheshimu halafu unabaki KUBAMBIA BAMBIA mademu jukwaani kama choko la uswazi na yeye akiwepo.

Inshort walishaaachana na yeye anaendeleza KIKI za ndoa na TANASHA, sasa kinachomfanya aanze kumchafua Zari ni nini ?

Lakini pia Peter ana familia yake, mke na watoto, sasa jamaa haoni anafanya uchoko kutaka kuvuruga ndoa ya Peter ambaye hata hana makuu na alimsaidia sana wakati wa Collabo yao ?

Yaani hawa jamaa wako tayari kufanya chochote kwaajili ya pesa na umaarufu hata kama ni kwa kuumiza HISIA za INNOCENTS
 
Boss tagozo jnadanganya na social media ungemjua zarina usingekua unaongea haya
But anyway nadha ni busara kukuacha uamini unachoamini
Na pia nakubaliana na statement yako hapo chini kwamba anaweza asiwe tajiri but kauwezo fulani anako that correct mkuu
Zari ni mdangaji kama wadangaji wengine the only diffference is amejiwekea class yake sababu ana ka exposure fulani so hata udangaji wake hadangi tu na kila mtu ndo maana hata kashfa zake ni za watu fulano hv
Hii ishu aliyofanya kwa diamond kutembea hadi na trainer sijui au wakina katunzi ka hujuo sio mara ya kwanza hata wakat yupo na ivan wakina lawrance wamegknga sana but mwisho wa siku ni binadamu pia so tusimhukumu diamond nae utoto mwingi na kiki zinampeleka so mi am not suprised at all n thsi gonna cost him
Maana zari ana mabwana au marafili a bit powerful
Yes Zari anakiburi kwa Diamond kwasababu pesa ya kuwamudu watoto wake anayo
Kinachomponza Diamond kuamini utajiri wake utamfanya Zari awe mnyonge Sasa imekuwa kinyume ndo maana unaona Diamond kakereka na Ego flani ya kijiona mwamba.
Waganda Ni Kama Wahaya hawapendi kujishusha ndo maana unaona hivo
 
Kweli kabisa
"
Mungu hakupi unachotaka Mungu anakupa unachostahili"

na ndio maana Zari alimpata malaya mwenzake Mondi na sasa hivi na date na malaya mwengine ambaye anasuuza rungu na mda si mrefu watapigana chini sababu wote malaya ,hata huyu demu anayedate naye Mondi sasa hivi sizani kama kuna future.Nakumbuka nilishawahi kubishana na wewe kuhusu Mondi ,na ninakuambia Mondi atakuja kuoa mwanamke ambaye hamta mtarajia kabisa.Alafu mi si shangai Mondi kudate na wanawake wengi Bob Marley pamoja na IQ kubwa aliyokuwa nayo lakini anakopi kibao kutoka kwa wanawake mbalimbali.

View attachment 1079685
Huyu mwenyewe wa sasa hivi alikua mwanamke wa Salaam na Diamond hawezi kumuoa kamwe.
Mjinga na yeye kaamua kuwa baby mama namba 3. She's 4 month pregnant.
 
Yes Zari anakiburi kwa Diamond kwasababu pesa ya kuwamudu watoto wake anayo
Kinachomponza Diamond kuamini utajiri wake utamfanya Zari awe mnyonge Sasa imekuwa kinyume ndo maana unaona Diamond kakereka na Ego flani ya kijiona mwamba.
Waganda Ni Kama Wahaya hawapendi kujishusha ndo maana unaona hivo
Personally kwa kiasi nachomjua zarina sidhan kama ana hyo hela ya kuwatunza hao watoto
Hakuna mwanaume anayeweza kuhudumia watoto watano wa mchepuko hakuna no matter how worth he is
The only thing wote wawili wanashare ni ego
Wote wanataka kupambana kupata kiki ili media zimuone mmojawao bado wamo but mwisho wa siku watakaoumia ni watoto n thats the problem hawajatumia hekima hapa
Kwa case ya zari hata madanga yake yataanza kumkimbia sababu ipo aiku mbeleni atawaumbua kwa mwenzo huu
Kwa case ya diamond jamii itaanza kumdhara very soon sababu hakuna mwanaume anadharirisha mwanamke na jamii ikampe heshima thos kid has to learn that
 
Siku hizi maisha bila kiki hayaendi..acha watifuane tujue ya chumbani

Usije ukasikia ana kibamia...
Nashangaa watu wanavyo toleana povu hali ya kuwa malaya wawili walianziasha mahusiano. Zari alikuwa anavizia Diamond awe Tanzania achepuke vile vile Domo nae akiwa TZ bila kuwepo Zari anachepuka.
 
Back
Top Bottom