Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Hahahaaa as long as ni mwanaume lijali halafu ni mwafrika hapo ni mwendo wa kufyatua tu,maisha yenyewe hayana garantii haya
 
Teh kuna dada kamuuliza Peter kama ni sidechick wa Zarry doh Peter anakuwaje side chick sasa ?
 
Karatasi za nyumba zimeandikwa jina la nani? Watoto watakuja tu hawana baba mwingine chini ya jua zaidi ya diamond
Zari kamzidi sana akili Diamond-hyo nyumba atakaa mpaka aamue mwenyewe-hao watoto Diamond in light ya mambo aliyosema kwenye TV Watoto asahau labda apige magoti
 
Hii ndo shida ya kutotulia na kuoa...yasingemtokea yote hayo...anaacha kuoa yy anaruka ruka tu
 
Zari ni mdangaji km wengine tu daimond tunamuamini pia km yeye aliweza kumuamini ,sisi ni nani tusimuamini?
Halafu na yeye kumbe alikua sidechick wa Peter ?hahaaaaaaaaaaa
Jamani kaaahh!
Afadhali ya zari anayedanga na kuhongwa nyumba kuliko anayezini miaka hata kumi na bwana mmoja tena kwenye nyumba ya kupanga
 
Zari kamzidi sana akili Diamond-hyo nyumba atakaa mpaka aamue mwenyewe-hao watoto Diamond in light ya mambo aliyosema kwenye TV Watoto asahau labda apige magoti
Kamzidi nini?kuuza K. angekua na akili angetumia hizo akili kutafuta pesa kwa jasho lake siyo kulala na wanaume wenye hela ili wamlipe vizuri. Zari ni gold digger Kama hujui.
 
Kamzidi nini?kuuza K. angekua na akili angetumia hizo akili kutafuta pesa kwa jasho lake siyo kulala na wanaume wenye hela ili wamlipe vizuri. Zari ni gold digger Kama hujui.

Kama kuwa gold digger ni kitu rahisi na ukadig hayo magari na majumba nenda na ww ukawe gold digger
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…