Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
- Thread starter
- #641
Hahahaaa as long as ni mwanaume lijali halafu ni mwafrika hapo ni mwendo wa kufyatua tu,maisha yenyewe hayana garantii hayaWatu wanapiga kelele wakati ndio kwanza Mondi kazaa na wanawake watatu,Bob marley pamoja na IQ yake kubwa lakini kashindwa kukicontrol kichwa ca chini kazaa na wanawake saba watoto kumi na moja.We upo south mwenzako yupo TZ alafu mtu mwenyewe zipu mbovu unamlia yamini hataokucheat.Hapa tunaongea tu LAKINI KAMA MWANAUME KAMA WEWE UNGEKUWA DIAMOND ,NINAUHAKIKA UNGEWAFYATUA TU .