Da Lu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 1,209
- 2,840
Wanawake wachepukaji utawajua tu mnateteana
Tatizo lenu wanaume mnakitembeza kidudu chenu nje mnachepuka mpaka mnaishiwa nguvu za kiume, tukiona mmezidi tunaamua kuvunja mahusiano kipindi cha kwanza cha kuachana wanawake huwa tunaumia sana. Tukishaamua kumove on na tunazidi kupe deza hatuna time na ww tena tukapata mwanaume zaidi ya yule, hapo ndo mnaanza kuumia. Nyambaaafuuu Zari kamkomesha yule mwakitombile alijua atakua kama Hamisa kumlilia shida[emoji23][emoji23][emoji23] Shubamiiiit