Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Wanawake wachepukaji utawajua tu mnateteana

Tatizo lenu wanaume mnakitembeza kidudu chenu nje mnachepuka mpaka mnaishiwa nguvu za kiume, tukiona mmezidi tunaamua kuvunja mahusiano kipindi cha kwanza cha kuachana wanawake huwa tunaumia sana. Tukishaamua kumove on na tunazidi kupe deza hatuna time na ww tena tukapata mwanaume zaidi ya yule, hapo ndo mnaanza kuumia. Nyambaaafuuu Zari kamkomesha yule mwakitombile alijua atakua kama Hamisa kumlilia shida[emoji23][emoji23][emoji23] Shubamiiiit
 
Kuna funzo hapa Diamond aelewe kuhusu wanawake wanachofanya pindi mnapotengana na amsamehe baba yake. This is KARMA anachomfanyia baba yake ndio watoto wake wanatengenezwa waje kumfanyia yeye baadae na litafanikiwa tu

Umeongea kweli..Karma is a bitc.h...analolipika siku moja litamrudia mwenyewe
 
Kama hana la kuongea anyamaze.. kwa sababu alisapoti mziki wa P square wakati wenzake wametoa alizoshiriki ndio anaongea upuuzi huo.. kisa kiki ya mziki.. huyu hamjui Zari.. walikitania Madale au Tandale alipowakutanisha??

Ua jeusi halijamuacha salama chati imepungua.. asali apande tena.
[emoji109][emoji109]
 
Mwanamke akichepuka mwamwita malaya ila mwanamume akiwa anachepuka mnamwita kidume.
Washamba wakubwa nyie ila siwalaumu kwani malezi yanachangia sana katika ukuaji wa watoto.
A woman is for only one man,but a man is for many women,mwanamke anayemkimbia mumewe alozaa nae watoto watatu na kukombilia kwa kijana aliyemzidi miaka 10,then anamzalisha watoto wawili bila ndoa halafu na bado anaenda kubanduliwa na wanaume wengine zaidi ya mmoja,isitoshe bado pia anapigwa na vijana wadogo na anaona fahari kuwaonyesha mitandaoni kwa nini asiwe malaya?
 
Hivi wewe historia yako ya mapenzi.iko clean mpaka umuite mwenzako Malaya,??eti anakimbia mumewe...kwani Daimond hakujua kama Zari ana watoto watatu na alikua na Ivan?
 
Kama kweli ni hivyo, alimtafutia nini????
Ninahisi kijana wetu ameumia sana maana amezoea kubwaga na hajazoea kubwagwa na ndiyo maana hadi leo bado anamzungumzia mwanamke aliyeachana naye kitambo.
 
Tatizo lenu wanaume mnakitembeza kidudu chenu nje mnachepuka mpaka mnaishiwa nguvu za kiume, tukiona mmezidi tunaamua kuvunja mahusiano kipindi cha kwanza cha kuachana wanawake huwa tunaumia sana. Tukishaamua kumove on na tunazidi kupe deza hatuna time na ww tena tukapata mwanaume zaidi ya yule, hapo ndo mnaanza kuumia. Nyambaaafuuu Zari kamkomesha yule mwakitombile alijua atakua kama Hamisa kumlilia shida[emoji23][emoji23][emoji23] Shubamiiiit
Hakuna kitu inauma kama kumuona ex wako anafanikiwa, anapata mpenzi zaidi yako wengi wetu tunapenda kuona zilipendwa wetu wamechakaa Kinacho muumiza Diamond ni hiki.
 
Kaona kulipa watu instagram kumchafua Zari kumebuma, kaamua kumchafua mwenyewe. Eeeeeeh mbona hakumuacha kabla.. muongo sana huyo libaba.
Kama hana la kuongea anyamaze.. kwa sababu alisapoti mziki wa P square wakati wenzake wametoa alizoshiriki ndio anaongea upuuzi huo.. kisa kiki ya mziki.. huyu hamjui Zari.. walikitania Madale au Tandale alipowakutanisha??

Ua jeusi halijamuacha salama chati imepungua.. asali apande tena.
Unavyokomaa utafikiri uliwahi kuishi nao nyumba moja..
Mtu anazungumzia mambo yao ya ndani lakn ajabu ww ambae uko sitimbi huko na unawafahamia kupitia picha za kwenye simu unakomaa kukanusha...
Kuna watu mna akili za ajabu sana
 
Yaan yule mwakitombile hana haya kabisa liongo liongo.
Hakika chuki humchoma anaeihifadhi FARID KUBANDA utamfatilia tu na ngoma zao utasikiliza utake usitake Media yao utaifatilia tu huna namna agree is the best in our cunt country
 
Kwahiyo mambo ya meneja kwenda kuongea na mama tiffa ilikua kiki?
Kusema akiachwa atatembea mpaka sauzi,
Jamaa anaongea vitu vinavyokinzana mno mpaka sasa unashindwa kuelewa kipi ni kipi.
Nawaasa Mabinti na wamama muwe waangalifu na wanaume mnao date nao. Diamond anatafuta Beef na Psquare. Asije pelekwa mahakama ya kimataifa kudhibitisha mahusiano haya kwa kuwa PSquare ni mume wa mtu yaani ana ndoa halali inayotambulika. Kiki nyingine tumieni busara kuzirusha hewani kabla ya kuingia matatani. Washauri wa Diamond wamkalishe chini aelezwe gharama ya Defamation. PSquare ni nyota ya Africa siyo ya Bongo Tandale kwa tumbo. Subirini Reaction ya PSquare kwa Diamond. Halafu hakuna mwanaume anaachana na mwanamke anapata furaha amuonapo aliyeachana naye anapendeza. Kumbukeni hata Ivan alikufa kwa Pressure baada ya kuona Zari anapendeza she is happy haterereki. Maneno kama haya kwa Present wako yanaweza kumtoa povu X wako :I love you so much Mr M, it’s not the material things you shower me with, I’ve seen those and even bigger and better. But, its you, your heart, your whole being and how you make me and my kids feel. It takes alot of courage from YOU Mr M..5kids, 38, wow… you Heaven sent babe, That said, I end here! I l you .
 
Wengi wamemjua Zari kupitia diamond ila cha ajabu wanamdharau diamond kwa sababu ni mwanaume ambaye anajaribu kuficha aibu ya mama wa watoto wake..

Huyu zari nae hana tofauti na tulionao bongo na tena akheri wao hawana hata sex tapes mitandaoni, huyu ni seller kama seller wengine ila kwa kuwa ni wale wanaojiweka classy baada ya kukaribia retirement age plus ugeni na English anaonekana wa maana sana bongo..

Siafiki diamond alichokifanya ingawa najua ni biashara tu lakini Zari is overhyped..
Hakika umenena
 
Diamond atakua na kifirimbi haiwezekani kila ex wake amcheat.
Maskini, mwanaume hanaga maumbile madogo kwenye uchi alioufungua yeye sasa kwa mfano wewe kwa kukadiria mpaka umri huo ulionao umeshapepetwa na wanaume si chini ya 80 unategemea uweje kama sio bwawa la mtera 😖😖
 
Hivi wewe historia yako ya mapenzi.iko clean mpaka umuite mwenzako Malaya,??eti anakimbia mumewe...kwani Daimond hakujua kama Zari ana watoto watatu na alikua na Ivan?
Hivi mwanaume gani apewe uchi na Zari asimpige mashine? usitake kujifananisha na mwanaume sisi tunaweza kula hata wanawake 100 na mtaani heshima ipo pale pale wewe ukilala na wanaume zaidi ya wawili tayari ushakua malaya..jifichieni aibu za kufunuliwa hovyo(sorry for my language)
 
Back
Top Bottom