Abunwasi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 5,486
- 3,473
Mwanamume wa kweli hamzungumzii vibaya ex wake hasa wakiwa wamebarikiwa kupata watoto pamoja.Hivi kwa akili yako ndogo,nani kati ya Mond na Zari tangu Feb 14,2018 hadi leo alikua anamuongelea mwenzake? Alichofanya Mond ni kuweka mambo clear na wala hajalalamika,amekuja kuweka mambo sawa kutokana na accusation za huyo huyo Mganda kumshutumu mambo kibao na matusu juu lakini mwana ye alikausha tu,kajibu mapigo leo manahaha....."Usimfanyie jeuri hata siku moja mwanaume aliyekuvua chupi" alisema Mange Kimambi