Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Huyo mkaka picha yake unayo siku hizi sipo Intragram, jamaa mwaka huu kazi anayo [emoji3][emoji3][emoji3]

Niliona tu vidole vyake ni vinene virefu, wahenga wakujua mambo tukiangalia vidole tu tunapata jibu[emoji23]
 
Jipe moyo tu Binadamu wametofautiana ki maumbile hadi kitabia wanasemaga binadamu wote ni sawa katika kutiana moyo tu lakini kuna wanaume wenye mashine zao narudia tena kuna wanaume wenye mashine zao wanapiga mashine mpaka unasikia harufu ya baruti. Kama ww una kifilimbi chako endelea kujipa moyo tu[emoji23]
Nishakufahamu wewe ni eidha mdangaji au umepanuka sana huko chini.

Relax uendelee kumfatilia Simba ufe vizuri na roho mbaya
 
Huo usiku mzima umeniona? Wewe akili yako imekaa wapi kwanza tuanze na wewe
Hata Marium Biriani anaongelewa mitandani wiki nzima Sasa yeye katoa kazi ilipaswa izungumziwe kazi yake ndo angesema anaongelewa
 
Ndio maana wengi wanamuona Zarina kama hustler sijui nini.

Waulize wataje biashara 3 tu za Zari zaidi ya kuwa danke danke. Tofauti yake na wengine yeye anadeal na wanaume wenye hela ili awalie hela zao baasi ila hana ubosslady wala usafi wowote yani
Yeye na Wema hawana tofauti hata sema tu mmoja analiwa na mataifa mmoja anakitembeza bongo ila Zari hayuko hivyo fans wake wa bongo wanavyomchukulia.

Tatizo hawajui hata alishaachana na Ivan akaenda kwa Peter akajuaga Peter atamuoa mpaka safari ya kina Peter Bongo alikuja bila kuitwa.

Anahangaikaga Huyu aaminishe watu ana maisha mazuri
Hahahaaaaa duh
 
Niliona tu vidole vyake ni vinene virefu, wahenga wakujua mambo tukiangalia vidole tu tunapata jibu[emoji23]
Maneno dhaifu hayo, ina maana mimi nikiangalia madole yako yamiguuni dole gumba na kinachofuata havijabanana una K pana? Au ukiwa na mdomo mkubwa basi na K yako ni pana?

Zilipendwa hizo
 
Tatizo lenu wanaume mnakitembeza kidudu chenu nje mnachepuka mpaka mnaishiwa nguvu za kiume, tukiona mmezidi tunaamua kuvunja mahusiano kipindi cha kwanza cha kuachana wanawake huwa tunaumia sana. Tukishaamua kumove on na tunazidi kupe deza hatuna time na ww tena tukapata mwanaume zaidi ya yule, hapo ndo mnaanza kuumia. Nyambaaafuuu Zari kamkomesha yule mwakitombile alijua atakua kama Hamisa kumlilia shida[emoji23][emoji23][emoji23] Shubamiiiit
Zari hana ubavu wa kumkomesha diamond kwa lolote lile
 
Diamond ana kifua sana aisee,kaishi kwa machungu muda wote huo kumbe alikua anamegewa hahahah
So kifua mwanaume ukijua mkeo anachepuka na ww ukachepuka hata hautaumia kama diamond utasema madem zake wakichepuka anaumiaje? Ndo mana kabla zari hajasepa tayar alikuwa kashavuta chomo
 
Hakuna kitu inauma kama kumuona ex wako anafanikiwa, anapata mpenzi zaidi yako wengi wetu tunapenda kuona zilipendwa wetu wamechakaa Kinacho muumiza Diamond ni hiki.
Kabisa Diamond alikuwa anataka Zari awe na maisha Kama ya Wema sepetu ya Sasa baada ya kumuacha hakutegemea mwenzio ataendelea kuishi maisha mazuri na watoto wake au alijua Zari atamnyenyekea
 
Sasa si atulie kwa huyo wa miaka 24? Hamisa ana miaka mingapi? anafukua makaburi ya nini? kinachomtoa povu ni msg hii tu kwa King Bae:
I love you so much Mr M, it’s not the material things you shower me with, I’ve seen those and even bigger and better.
But, its you, your heart, your whole being and how you make me and my kids feel. It takes alot of courage from YOU Mr M..5kids, 38, wow… you Heaven sent babe, That said, I end here! I l you
Noo! Sidhani, nazani hujawahi kuhojiwa na press hata moja unajibu kile ulichoulizwa hivyo vyote mondi hajajisemea tu ilimradi ni kaulizwa
 
leo!!!!..eti alifanya mizinguo aachwe,kama haimuumi anayasema ya nini baada ya muda wote huu walioachana,??angeyabana kifuani like he always have done...jamaa wenu KAACHWA,AND HE DOESNT GET OVER IT..ALIJIDAI KUIGNORE KAONA YAMEMSHINDA ...kaamua kusema, you know what well done MONDI lol kuna wanaume wengine wanakufa mapema sababu ya kubeba vitu kifuani..LOL
Kwelii na ndio wanaongoza Kwa kujiua [emoji239]
 
Yaani wew mwanaume Ulale na wanawake Mia usiwe malaya heshima yako ishuke unajua why Diamond kashuka kimuziki kwa Sasa sio kama zamani hakunaga kitu kama hicho usifikili ni sifa kutembeza fimbo zenu

Ameshuka sana kwa kweli kimuziki, tatizo amalala na wanawake wengi sana na kila mwanamke ana jasho lake na akiachana na mwanamke haachani nae kiistarabu lazma aanzishe chokochoko tatizo mswahili sanaaa
 
Back
Top Bottom