Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

eti ''anawafanyia vimbwanga wanaondoka wenyewe'' kujidai kidume tu kwenye radio..yeye ndie aliachwa na ua jeusi akapewa,wote tuliona msitudanganye hapa….
Povu tuuuu,Kwani ulikuwa unamjua Zari kabla ya kuwa na mond??
 
Demu hata uwe maarufu au tajiri kama humkojozi atacheat tu.. Wanaume wengi wanajidanganya na status zao . Mondi jitafakari unakojoza au lepwelepwe maana mademu zako wote wanakucheat unawaangusha wanaume wa Dar
inaelekea siku ukijua umegongewa utajinyonga...umalaya ni tabia haijalishi unamkojoza au laa..kuna dada alikua anakimbia kwa mumewe kila weekend..maana jamaa akianza asubuhi ni kutwa nzima..still dem alikua na mabwana nje
 
Ninaamini ni kweli mwanaume kamili hawezi kufunguka kama hivyo kama halijamgusa. Ila naona kuna shida kwa prince maana jamaa hamzungumziagi kabisa zaidi ni Tiffah tu basi
 
Watanzania wenngi huamini WATU wanapoachana mwenye matatizo ni MWANAUME...ONLY CAUSE mwanamke ni muongeaji siku zote wakiachwa huwa yanawatoka hayoooo..ni wanawake wachache sana katika 100 utampata 1 ambae ataachana na mwanaume alafu AAMUE KUSEMA siwezi ongelea hilo swala...ila walio baki wote Mkiachana WATAONGEA MPAKA DUNIA IJUE.

kwa DIAMOND NAWEZA KUAMINI MAANA HAKUWAHI sema popote angemjibu kipindi kile kwenye TUHUMA za BBC tungeona ni anamjibu kumsingizia na yeye ili kujitetea lakini yeye aliamua KUKAA KIMYA.

Amekuja kuyasema haya LEO hiii maana yake nini? Sioni kama diamond anaweza haribu uhusiano wake na PETER kisa ZARI inaonyesha wazi kbsa Kaamua kusema CAUSE muda umefika wa yeye KUSEMA..

nilichojifunza kwa DIAMOND ni MOJA YA WANAUME WAJANJA SANA WANAOTOKA NA WANAWAKE BILA YA WAO KUCHUNWA KIZEMBE LABDA ATAKE YEYE.

KINGINE NI MTU AMBAE KAMA ANA FAIDA NA WEWE HATA UMSEME KWA MABAYA,UMTUKANE,UMFANYIE CHOCHOTE ILIMRADI ANAONA KUNA KITU ANAPATA KWAKO,DIAMOND HAGOMBANI NA WEWE WALA HASHINDANI NA WEWE.

DIAMOND MPAKA ANAFUNGUKA TAYARI KASHAONA SI ZARI WALA SI PETER WAKUMFANYA LOLOTE TAYARI KASHAJIIMARISHA SO NI JAMAAA MJANJA ASIE GOMBANA NA ADUI BILA KUJIANDAAA.

THIS TIME AROUND ZARI HAWEZI ENDELEZA HII BATTLE MAANA ANAJUA DIAMOND TAYARI KASHA JI KOKI NA KASHAAMUA KAMA MBWAI IWE MBWAI.

MOBETTO ALIANZAGA HIVI HIVI FYOKO FYOKO FYOKO ETI DIAMOND HAUDUMIII MTOTO ILA KUMBE MTU ALIKUA ANAPEWA HELA SI ZA KAWAIDA..KIMDOMO CHOTE KILIFUNGWA.

HIVI VI WANAWAKE VYA DIAMOND VINATAKA VIKIACHANA NA DIAMOND VIONE MWENZAO ANA DROP JAMBO AMBALO HALIWEZEKANI MAANA HAKUPATA UTAJIRI WAKE KUPITIA HAO WANAWAKE hilo ndio wasilojua.

by the way DIAMOND ATAFANIKIWA NA ATASHANGAZA WOTE... anapendwa na BABA anapendwa na MAMA wazazi wote wanamfurahia MTOTO WAO sasa nini cha kumshusha chini DIAMOND WA WATU?

WAMUACHE KIJANA WA WATU...DIAMOND kazungukwa na master mind WENGI SANA sasa HIVI anachokiongea leo ALIANZA KUKIFKIRIA WIKI ILOPITA....HAROPOKI SASA KASHAKUA.
 
Atulize sasa asidanganye watu kwenye social media kwamba anakula kwa jasho kumbe anakula kupitia viungo vya mwili wake. Zari ni Malaya wa kimataifa yule.
Na wewe ukatumie vyako upewe. Kama Me amua kuwa Elton Joni utatajirika. Kama ke toa kwa Right people sio wauza Chips! Sipendi wanaolabel wengine Malaya wakati hajakuuzia. Hata hivyo Umalaya wa Zari unalipa 5 kids wanaoishi kitajiri wakisoma shule za maana. Nyumba nzuri, magari mazuri, biashara nzuri. Halafu she is Beautifully attracting wazee kwa vijana! Mrembo wa Gucci Products siyo Chinese. Viungo vinalipa ukivitumia rightly!
 
Na wewe ukatumie vyako upewe. Kama Me amua kuwa Elton Joni utatajirika. Kama ke toa kwa Right people sio wauza Chips! Sipendi wanaolabel wengine Malaya wakati hajakuuzia. Hata hivyo Umalaya wa Zari unalipa 5 kids wanaoishi kitajiri wakisoma shule za maana. Nyumba nzuri, magari mazuri, biashara nzuri. Halafu she is Beautifully attracting wazee kwa vijana! Mrembo wa Gucci Products siyo Chinese. Viungo vinalipa ukivitumia rightly!
Njoo nikufi.re nikulipe naona unatafuta bwana.
 
I feel sorry for Diamond,nyumba ni kitu kidogo-watoto ni muhimu sasa communication nao Zari akikata Damond ataokota makopo.Inabidi sasa ajipendekeze kwa Mobetto ili Dylan awe mrithi wake
 
Nilisema hapa huyu dogo kapigwa mchuzi mzito halafu kisheria.hapo mpaka wale madogo wawe 18 no excuse.
Hakuna hadithi Zari kamuweka sawa pazuri tu tufkirie baada ya miaka 10 km huyu dogo ataendelea kumantain status yake.
Huku kuna M 4
Hamisa M 2+
Babu Tale
Yule jamaa wa TMK
Salaah 10m +
Rommy+ mama,dada Esma,Jumalokole
And list goes on sogeza mda 3 yrs.
Ndio maana anawezekeza
 
Kaona kulipa watu instagram kumchafua Zari kumebuma, kaamua kumchafua mwenyewe. Eeeeeeh mbona hakumuacha kabla.. muongo sana huyo libaba.
We hujamsikiliza vzr,kasema hakumind kwasabu na yeye alikuwa anagonga Hamisa,ila km mwanamke amemkosea atamfanyia vituko mpk mwenyewe ataondoka,ndivyo ilivyokuwa ni kwamba Zari baada ya kuona mhhh vituko vimezidi ikabidi amtwange na black rose,lkn mwenzie alikua anamtafutia sbb bt Zari akawahi kusepa
 
Back
Top Bottom