Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Bibie anajuaga kujiliwaza,eti Mrs M count down the big day,khaaa yaani anaonyesha ni kiasi mabomu ya dai yamemuingia,hizo count down tulizizoea kipindi anajiita Mrs Dee,km ningekua yeye zari ningefunga hiyo ndoa na kingbae kimyakimya niwasapraiz wanazengo,seems hajajifunza bado akili za kitoto
 
Zari ndo kiboko ya Dai
Deeep deeep down kaumia mnoo
Maneno mengi yale ni defense mechanism
Kwa kweli hata huko kwao dabliyusibii wanasema kaka anaumia sanaaaa. Hakutegemea Zari kumove on haraka hivyo. Alitegemea kutakua na zile on and off za kutosha mpaka Zari ashike adabu ila tukio moja tu na Zarina kasepa mazima
 
Kumbe babe una connection na watu wa wcb. Kweli upo juuuu mawinguni.
 
Kwa kweli hata huko kwao dabliyusibii wanasema kaka anaumia sanaaaa. Hakutegemea Zari kumove on haraka hivyo. Alitegemea kutakua na zile on and off za kutosha mpaka Zari ashike adabu ila tukio moja tu na Zarina kasepa mazima
Tuache utani aise best, diamond hapa alipoteza chombo hata kama umri umeenda Zarina bado ni mashine hasa...

Hizi picha huwa zinanipeleka mbali sana, ukicheki hilo paja sasa akikuvulia si ndio unamwaga nje kwanza kabla ya kuingia ndani..

Nakubaliana na wewe diamond huko aliko anaumia sana..
Cooling%20off...._swimmer_%E2%80%8D%E2%99%82%EF%B8%8F.jpeg
Momguard...%20watching%20the%20kids_female_shrug_%20%40essenixhair.jpeg
 
Tuache utani aise best, diamond hapa alipoteza chombo hata kama umri umeenda Zarina bado ni mashine hasa...

Hizi picha huwa zinanipeleka mbali sana, ukicheki hilo paja sasa akikuvulia si ndio unamwaga nje kwanza kabla ya kuingia ndani..

Nakubaliana na wewe diamond huko aliko anaumia sana..View attachment 1081147View attachment 1081148
Mzuri kweli sema Diamond hachukuagi kazi mbovu mbovu.
 
Hamisa mzuri bwana ule mdomo tu ndo hauelewekagi
Haaha sawa best ni kazuri kiasi, ila kwa wanawake alio date nao Zari was something, very beautiful hata kama ni deki unatandaza kuanzia kwenye unyayo, maskio, kitovu, makwapa na papuchi yenyewe...

Zari ni msafi na anajua anachofanya kitu kingine upstairs yuko vizuri tofouti na hawa local breed wa kwetu...
 
Mtu kushinda kazini sio ndiyo kufanya kazi sana , unaweza shinda ofisini lakini ukaishia kuchart JF, itakuwa ilikuwa ni vurugu tu kama analima na trekta badala ya starehe
inaelekea siku ukijua umegongewa utajinyonga...umalaya ni tabia haijalishi unamkojoza au laa..kuna dada alikua anakimbia kwa mumewe kila weekend..maana jamaa akianza asubuhi ni kutwa nzima..still dem alikua na mabwana nje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom