Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hamisa mzuri bwana ule mdomo tu ndo hauelewekagi
 
Bibie anajuaga kujiliwaza,eti Mrs M count down the big day,khaaa yaani anaonyesha ni kiasi mabomu ya dai yamemuingia,hizo count down tulizizoea kipindi anajiita Mrs Dee,km ningekua yeye zari ningefunga hiyo ndoa na kingbae kimyakimya niwasapraiz wanazengo,seems hajajifunza bado akili za kitoto
Hana anaemuoa labda anaoa yeye mradi atoe gundu tena bomaniii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]shogare,msikitin na kanisani atakuskizilia bombaniii tuuu

Nani aoe timu ya mpira...Mimi akiolewa nachinja kuku!!!!kwa mdomooo!
 
Kwa kweli hata huko kwao dabliyusibii wanasema kaka anaumia sanaaaa. Hakutegemea Zari kumove on haraka hivyo. Alitegemea kutakua na zile on and off za kutosha mpaka Zari ashike adabu ila tukio moja tu na Zarina kasepa mazima
Mkwe sijui kwa nini dai kanifurahisha na zile interview[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji4]!!!!!
 
Back
Top Bottom