Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Hahaaa!umeonaaa!mambo ya show off mange aliweka ujumbe mzuri Leo kafuta sasa hivi...
Kucheka kwa zamuuuu acha tucheke tu jamani na tunasubiri part two maisha ya mtandaoni hayaa watu wanaona eti tajiri kwa pic za insta na magari hayana plate namba
Watu waishi maisha yao ya ukweli kama sie makapuku!eti kudanga kwa Zari sifaa...tena wenyewe wanasema role modo[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]huku wakidanga wabongo ukahaba,Malaya hawaolewi!!

Hapo analiwa na trainer na huyu kingbae mbele ya watoto wadogo eti sifaa....ushabiki huo sinaaa!!!
 
DUuuuuuuhh mambo ni moto aiseeee,mji mzito....Ngoja tuone Domo kama atamfukuza zari....hivi Minions ndio nini?
Minions wapambe nuksi aka washabiki maandazi also known as misukule wa hizo team hawaambiwi hawasikii,mradi boss wao wanasifia...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Diamond hawezi pale ana watoto wake!daimond ana mapungufu but very smart boy
 
Minions wapambe nuksi aka washabiki maandazi also known as misukule wa hizo team hawaambiwi hawasikii,mradi boss wao wanasifia...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Hahahaa wapambe mara nyingi huwa Nuksi kweli.
Diamond hawezi pale ana watoto wake!daimond ana mapungufu but very smart boy
Ngoja tuone!!!
 
Laiti kama report ya CAG na ile ya IMF ingepata wafuatiliaji kama haya ma drama ya Zari na mwenzake, tungeweza kujikwamua toka hapo tulipo kama taifa.
 
Ngoja tuone!!!
Trainer huyuu...mama anapenda vitoto...six pack
Hahaaa
Sizani%20kama%20ana%20Shoo%20ndogo%20huyu_relieved_%20Mungu%20baba%20angenitunuku%20huyu%20ma...jpeg
 
Hayo mambo ukiyafatilia yanatia hasira tupuu!!sasa hivi bongo bora nishabikie umbea tuuu!!maana hakuna cha maana!!
Laiti kama report ya CAG na ile ya IMF ingepata wafuatiliaji kama haya ma drama ya Zari na mwenzake, tungeweza kujikwamua toka hapo tulipo kama taifa.
 
Hayo mambo ukiyafatilia yanatia hasira tupuu!!sasa hivi bongo bora nishabikie umbea tuuu!!maana hakuna cha maana!!
Wakati kwenye nchi za mabeberu wanaandamana kukemea uchafuzi wa mazingira sio huku vikondoo tuna parade kwenye mitandao kubishana Diamond na Zari nani msafi.
 
Wakati kwenye nchi za mabeberu wanaandamana kukemea uchafuzi wa mazingira sio huku vikondoo tuna parade kwenye mitandao kubishana Diamond na Zari nani msafi.
Ndo maana hatuendelei sasa tutaendelea saa ngapi while most of the time we discuss people!!!
 
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👍🏽

Kweli kabisa tena amekiri kuwa yeye Diamond alikua akihangaika na mahusiano mengine lkn mdada alitulia. Lkn hii statement ya kwamba Zari alimpenda kuliko yeye alivyompenda nahisi ni defence tu. Fact ni kwamba wote wameachana haijalishi nani alianza kumuacha mwenzake maana naona kijana anaifanya kuwa big deal yeye kuacha
 
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👍🏽 Kakurupuka huyu na akiendekeza hii tantalila yake ya Zari kucheat sijui na P Squre na Trainer wake ataharibu product yake katika nchi nyingi za Africa kwani hawa wawili nao wana wapenzi wengi sana.



MMMNhhhhh…. hata kama alikua anacheat,yeye Diamond hakucheat pia??..wanawake kuletewa mtoto ndani ni breaking up point...uhusiano lazima ulege lege...afadhali umkute mwanaume na mtoto ila sio kuletewa ndani, wachache sana wana survive this,mie simlaumu Zari kutafuta na kupata attention somewhere else...Mondi ndio responsible kila siku wanawake...hafu sasa hivi anataka ku play sympathy/victim card..hovyoooooo
 
Hapo ndipo utakapo jua kauli za mwanaume huwaga nzito sana na ndio maana tunapenda kukaaga kimya kujifanya wajinga ili kulinda hadhi za wenza wetu.

Kipindi Gardiner kaachana na Jide ,Jide kila siku kumponda kwenye social network na kumuongelea vibaya Gardiner mpaka kumwimba katika Ndi Ndi Ndi lakini jamaa akakaa kimya,ila siku yalipo mzidia ,Gardiner kauli yake ya maneno machache (KUKOJOZA) ,kulilipuka humu JF,Inst,FB mpaka Kigwangala akamtaka Gardiner amwombe msamaha Jide lakini Gardiner akakaza.

Leo Diamond ,Zali kamwongea zaidi ya mwaka mzima kwenye Insta,Snapchat kutwa kumponda Mondi,interview za nyuma Mondi kila akiulizwa maswala ya Zari anapotezea,ila interview ya masaa matatu ya Juzi Diamond anaonekana mkorofi na ndio maana mara nyingi wanaume tunashauriwa kupotezea sababu kauli zetu huo nzito sababu kiasili sisi wanaume ndio wenye mamlaka hapa duniani.
 
Wakuu
Sio kwa sababu wewe ni mtanzania akisemwa Zari basi mcheke hapana unganeni na mumpinge kwa nguvu zote.
Amekua na kawaida ya kuwadhalilisha wanawake iwe kwa maneno au matukio ya ngono ya wazi wazi na yeye hujiona yuko sawa.
Kuna muda hua nahisi dogo hana akili nzuri au hana washauri wazuri ndio maana hufanya upuuzi huo kila baada ya muda fulani.
Kiuhalisia mahojiano yake ya redio majuzi ya kudhalilisha mwanamke aliyezaa nae sio uanaume ule ni utoto na mwisho wake utakua mbaya.
 
Back
Top Bottom