Diamond: Zari hajawahi kuolewa

Haitambulik hiyo kisheria...

Ndo maana watu wanang'ang'ania kwenda kanisan kufunga ndoa na sio tuu kuishi kindoaaa...

Sio ya kanisani tu kibongo ukiishi na mtu mda flani mnakua ni ndoa kamili. Kuna ndoa za kimila ila zari na muwewe wana watoto wakubwa enzi hizo walikua wa ndani ila wame separate.
 
Sio ya kanisani tu kibongo ukiishi na mtu mda flani mnakua ni ndoa kamili. Kuna ndoa za kimila ila zari na muwewe wana watoto wakubwa enzi hizo walikua wa ndani ila wame separate.

Okey sasa huyu ex husband ni chenga tuuuu..
anatafuta kik tumjAdil..ka hiv
 
Okey sasa huyu ex husband ni chenga tuuuu..
anatafuta kik tumjAdil..ka hiv

Si wamejua wabongo ni bendera fata upepo mana niliona Wema anampongeza king Lawrence kuwa kapata media attention ya kutosha kwa ku post Yale sijui DNA na ile barua ya wana sheria.
 
Si wamejua wabongo ni bendera fata upepo mana niliona Wema anampongeza king Lawrence kuwa kapata media attention ya kutosha kwa ku post Yale sijui DNA na ile barua ya wana sheria.

Nmeona leo, ila nahisi ile fake akaunt...ila huyu nae kwa unafik..dah
 
Ivan awapime dna wale alionao kwanza alete majibu ndio aombe ya tiffah
 
kumbe walisha talakiana basi swala ni rahisi sana..

Zari muislamu, na Dai ni muislamu...wanapo pa kusimamia kabisaaa...Hata angemuoa kanisani kitendo cha Zari kurudi kwenye dini yake ndoa hakuna tenaaaa.....
Haijalishi wamezaa watoto mia au ametoa mahari kiasi gani...hakuna ndoaaa....Yani Dai akiona analetewa zengwe anapiga kitu cha ubani fastaaa afu ana msue yule ----- kuwa anamsumbua mkewe....

#ndo nishatoa fatwa....lol
 
She wants prenup,she's the golddigger,she's messing with wrong nikka..... Zari pia Ana mtoto m1 tu anaitwa tiffany.
 
Namwomba mungu isiwe kweli! Tiffah awe mtoto halali wa diamond Dunia nzima inalijua hilo leo tuje tuambiwe Tiffah siyo mtoto wa taifa tena? no no itakuwa ni big ishu hii n zaidi ya scandal ya Escro!
 
Sorry yeyote anaweza dai mtoto ni wake sababu hajamuoa ili mtoto awe wako oa,huyo hawezi kumrithi kisheria anamnyima haki mtoto
 
Lakini naona hapa kuna kukwepa maksudi hoja ya msingi. Hoja ya msingi ni tiffa mtoto wa Ivan au Domo? Ivan anasema tiffa ni mtoto wake, hasemi zari ni mke wake. Kipimo cha dna kinaamua baba ni nani, siyo mume ni nani.
 

Haya mambo ya mahusiano bwana wawili ndio wanajuana, tunaweza muona kichaa Ivan Kumbe kuna Muda walikumbushiana watoto wa tatu Lazima kuna Muda muonane labda Mmoja awe marehemu. hatuwezi jua kilichopo chini ya pazia only Zari na X wake wanajua kwa nini anaconfidence ya kusema mtoto wake na DNA ichukuliwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…