Diamond: Zari hajawahi kuolewa

Hili swala gumu sana ni bora diamond angekaa kimya, kitendo cha ivan kudai DNA ina maana zari akitoka kwa diamond anaenda kwa ivan kubanduliwa so pengine anahisi percent kubwa anaweza kuwa wake, pia ivan wana share mali na some business na zari hadi leo hii na wanalea watoto pamoja japo wako separate hii ni kulingana na sporah show
 
Hiyo ya tiffah ni frastuation na maumivu ya Ivan kumuona Zari yuko happy wala mtoto siyo wake..

Hivi Diamond au Zari hawawezi kwenda mahakamani kuwapiga marufuku Rich Gang kuongelea maswala ya familia yao?
 
Hivi Diamond au Zari hawawezi kwenda mahakamani kuwapiga marufuku Rich Gang kuongelea maswala ya familia yao?

Restrain order! Wanaweza lakini lazima ithibitike kuwa kati ya Zari na Ivan hakuna ndoa na walisha achana kwa kufata sheria...! Kama ndoa yao haijavunjwa basi hawatafanikiwa na katika hili swala la DNA wanaweza wakalazimika kulifanya..
 
Lakini naona hapa kuna kukwepa maksudi hoja ya msingi. Hoja ya msingi ni tiffa mtoto wa Ivan au Domo? Ivan anasema tiffa ni mtoto wake, hasemi zari ni mke wake. Kipimo cha dna kinaamua baba ni nani, siyo mume ni nani.

Wewe umefafanua vizuri
 
Lakini naona hapa kuna kukwepa maksudi hoja ya msingi. Hoja ya msingi ni tiffa mtoto wa Ivan au Domo? Ivan anasema tiffa ni mtoto wake, hasemi zari ni mke wake. Kipimo cha dna kinaamua baba ni nani, siyo mume ni nani.
Tiffah mtoto wa Diamond hatuhitaji DNA...!

Hoja zote mbili ni za msingi sana hapa...
 
Kanuni yangu ya usomaji hapa JF ni kurasa ya kwanza tu halafu nachangia au napotezea ila leo nimefika hadi kurasa ya 3 nilichokipata ni kwamba hakika DIAMOND NI ICON OF THE NATION MAMBO YAKE YOTE NI MJADALA WA TAIFA.
 

Domo asijaribu kuwa-confuse watu. Jamaa anasema mtoto apimwe dna ili ajue kama ni wake au la. Hasemi Zari ni mke wake bali anasema Tiffa ni mtoto wake. Kuzaa na mwanamke siyo lazima uwe umemwoa. Mbona Domo anadai kazaa na Zari, je kamwoa? Kipimo cha DNA kinaamua baba wa mtoto, siyo mume wa mama.

Domo amruhusu tu huyo mtoto afanyiwe hicho kipimo. Asiwe anajisifu tu kuwa ana mtoto kumbe kaiba mtoto wa watu. Asiogope gharama maana jamaa amesema gharama zote atazilipa yeye.

Watanzania tuache kumshabikia Domo kwa mambo ya wizi wa mtoto wa watu. Azae wake na huyo bibi bomba!!!
 
A wapi ----- tu uyu! alishindwa kuwatia mimba kina penny, wema na jokate itakua Mganda!!
 
Hzo DNA za kudaiwa ig?????? Its all about fame nothing more
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…