Diamondplatnumz anatakiwa atunukiwe PhD ya Heshima kwa kuipa Bongo Flavour heshima

Kuna verse gani ya Mondi inaweza kutumika kufundisha fasuhi
 
[emoji848]
 
Punguza wivu
 
Exactly huyo ana wivu tu
 
Acha wivu Kenge wew
Sio vivu diamond platnmz hajafikia level za Michael Jackson, Bob Marley, Akon , Pi didy , Jay Z . Hawa wote hawana udakari Je diamond platnmz ana nini cha kuwazidi hawa. PhD hazitolewi kama maandazi
 
Hakuna juhudi hapo msidanganyane. Ni zali tu limemkuta enzi za teknolojia ya smartphone na kupaishwa na Davido. Lakini hana maajabu
 
Hao wengine vipi mapinduzi ya tekinolojia hayakuwafeva? Yakamchagua diamond pekee tu!
Hao wengine wakina nani? Binadamu hatuwezi kuwa sawa. Ila hilo la kusema eti diamond katambulisha muziki wetu nje ni ushabiki binafsi.
Teknolojia ndio yenye mchango mkubwa. Ashukuru amefanya muziki mapinduzi ya teknolojia yameshafanyika
 
napoteza muda wangu na mtu anayejenga hoja za kitoto namna hii.
 
Hakuna juhudi hapo msidanganyane. Ni zali tu limemkuta enzi za teknolojia ya smartphone na kupaishwa na Davido. Lakini hana maajabu
Hilo zali la teknolojia mbona alijamkuta Joh makini pamoja na kumshirikisha Davido?
 
Akil zako fup mno so nambie wasanii unaowajua huko burundi kufanya vizur bara la Africa , hao technolojia kwan ipo analojia ? jifunze kuheshimu jitihada za mtu , acha kutafuta sababu za kipuuz ndio maana vijana hawapigi hatua maana hamuwafundishi kujifunza kwa walifanikiwa bali mnawaua kiakili kwa kuwatajia sababu za kipuuz et teknolojia imechangia mara uchawi unasaidia au mara wanasafirosha madawa ndio maana wanatoboa , vey very weak points
 
Kuna verse gani ya Mondi inaweza kutumika kufundisha fasuhi
Acha upuuz ww , mziki una madhira mengi sana sio lazima ukufungue kuhusu ngono nzembe au ukabila au udini , kuna vingi vya kufundisha , au huijui nyimbo ya ukimwona ,hujaisikia , isikilizie utaelewa mafunzo yapo kila nyimbo ila ni ukazaji bichwa lako kutaka kuamini mafunzo lazima yawe kukuambia usitembee na mwanafunzi , soma kwa bidii , usidokoe mboga jikoni au usivute mjani
 
Sio vivu diamond platnmz hajafikia level za Michael Jackson, Bob Marley, Akon , Pi didy , Jay Z . Hawa wote hawana udakari Je diamond platnmz ana nini cha kuwazidi hawa. PhD hazitolewi kama maandazi
Hatuezi kukutofautisha na GOAT kwa ufikiriaji wako , hv unaona umewaza kumfananisha Diamond na wasanii wa USA na sio Tanzania au East Africa ukiamin hayupo wa kumfikia hapa bongo na East Africa , na huo ndo ushujaa ndo tunataka kumpa kausogeza mzik wetu mbele tofauti na alivyoukuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…