Diamondplatnumz anatakiwa atunukiwe PhD ya Heshima kwa kuipa Bongo Flavour heshima

Diamondplatnumz anatakiwa atunukiwe PhD ya Heshima kwa kuipa Bongo Flavour heshima

wewe ndio mjinga Kwa uelewa wako. Unafikiri PhD inazawadiwa kama maandazi
. Kwa taarifa yako mimi sio mjinga ni exposure nimegraduate MSc kwenye bara la Asia nakaribia kwenda Asia ili ni na Full PhD
Chuki inakusumbua wewe
 
Semeni mapinduzi ya teknolojia ndio yaliyochangia kuufanya muziki wetu usikike huko nje. Bahati nzuri huyo msanii alianza kuwika enzi ambazo tayari teknolojia ilikua imeshakua.

Ni ujinga na upumbavu kuamini kwamba eti yeye ndiye aliyeutambulisha muziki wetu

Kwani hao wengine wapo analogy
 
Back
Top Bottom