MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
Jamaa lako unalopigia chapuo lipewe PhD linabugia madawa kwa sasa. Ukiwa mpuuzi huwezi ku-notice hicho kitu ila ukweli ndio huo na soon atakuwa kama chidi benz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachawi wengi bongo yaan mswahili unaumizwa na mafanikio ya mtu mwingine km dad@ wa buza vle [emoji3]Hakuna juhudi hapo msidanganyane. Ni zali tu limemkuta enzi za teknolojia ya smartphone na kupaishwa na Davido. Lakini hana maajabu
Bro kuna muda unajishushia heshima bure kwa kuweka chuki mbele , unaongea pumba sana , ebu fanya mziki ww hlf tuone utafika wap ! jifunze kuheshu jitihada za watu hakuna mteremko dunian ukiona mtu katoka kuishi chumba kimoja na mama yke hadi kuish madale basi juwa anapambana ,Hao wengine wakina nani? Binadamu hatuwezi kuwa sawa. Ila hilo la kusema eti diamond katambulisha muziki wetu nje ni ushabiki binafsi.
Teknolojia ndio yenye mchango mkubwa. Ashukuru amefanya muziki mapinduzi ya teknolojia yameshafanyika
Ni mupuuz huyo jamaa , usikute anaishi kwa dada anasubir matokeo ya form 4 , hoja za form 4 kbsnapoteza muda wangu na mtu anayejenga hoja za kitoto namna hii.
Lete ushaidi na sio porojo za kijiwenJamaa lako unalopigia chapuo lipewe PhD linabugia madawa kwa sasa. Ukiwa mpuuzi huwezi ku-notice hicho kitu ila ukweli ndio huo na soon atakuwa kama chidi benz
Toka usingiziniJamaa lako unalopigia chapuo lipewe PhD linabugia madawa kwa sasa. Ukiwa mpuuzi huwezi ku-notice hicho kitu ila ukweli ndio huo na soon atakuwa kama chidi benz
Achana na mpumbavu huyoHilo zali la teknolojia mbona alijamkuta Joh makini pamoja na kumshirikisha Davido?
Davido kashirikishwa na Wasanii wangap mbona hawajawa kama diamond tatzo kinachokusumbua ni wivu, ujinga na UmasikiniHakuna juhudi hapo msidanganyane. Ni zali tu limemkuta enzi za teknolojia ya smartphone na kupaishwa na Davido. Lakini hana maajabu
Umaskini na ujinga unakusumbua weweSio vivu diamond platnmz hajafikia level za Michael Jackson, Bob Marley, Akon , Pi didy , Jay Z . Hawa wote hawana udakari Je diamond platnmz ana nini cha kuwazidi hawa. PhD hazitolewi kama maandazi
Tatizo linalokusumbua wewe ni Wivu, ujinga, stress za maisha na UmaskiniHao wengine wakina nani? Binadamu hatuwezi kuwa sawa. Ila hilo la kusema eti diamond katambulisha muziki wetu nje ni ushabiki binafsi.
Teknolojia ndio yenye mchango mkubwa. Ashukuru amefanya muziki mapinduzi ya teknolojia yameshafanyika
Mods manyokweMods watashughukikia ipasavyo.
wewe una hoja gani bhana unaandika kitu inaonyesha jinsi gan Huna wivunapoteza muda wangu na mtu anayejenga hoja za kitoto namna hii.
Kamtunuku basiAcha upuuz ww , mziki una madhira mengi sana sio lazima ukufungue kuhusu ngono nzembe au ukabila au udini , kuna vingi vya kufundisha , au huijui nyimbo ya ukimwona ,hujaisikia , isikilizie utaelewa mafunzo yapo kila nyimbo ila ni ukazaji bichwa lako kutaka kuamini mafunzo lazima yawe kukuambia usitembee na mwanafunzi , soma kwa bidii , usidokoe mboga jikoni au usivute mjani
ExactlyAkil zako fup mno so nambie wasanii unaowajua huko burundi kufanya vizur bara la Africa , hao technolojia kwan ipo analojia ? jifunze kuheshimu jitihada za mtu , acha kutafuta sababu za kipuuz ndio maana vijana hawapigi hatua maana hamuwafundishi kujifunza kwa walifanikiwa bali mnawaua kiakili kwa kuwatajia sababu za kipuuz et teknolojia imechangia mara uchawi unasaidia au mara wanasafirosha madawa ndio maana wanatoboa , vey very weak points
Roho mbaya, wivu na ujinga ndo kinachowamaliza vijana wengi siku hiziJamaa lako unalopigia chapuo lipewe PhD linabugia madawa kwa sasa. Ukiwa mpuuzi huwezi ku-notice hicho kitu ila ukweli ndio huo na soon atakuwa kama chidi benz
Achana na hao mambwa wasiokuwa na mbele wala nyumaWachawi wengi bongo yaan mswahili unaumizwa na mafanikio ya mtu mwingine km dad@ wa buza vle [emoji3]
Huyo ana chuki na wivu ndo kinachomsumbuaBro kuna muda unajishushia heshima bure kwa kuweka chuki mbele , unaongea pumba sana , ebu fanya mziki ww hlf tuone utafika wap ! jifunze kuheshu jitihada za watu hakuna mteremko dunian ukiona mtu katoka kuishi chumba kimoja na mama yke hadi kuish madale basi juwa anapambana ,
wewe ndio mjinga Kwa uelewa wako. Unafikiri PhD inazawadiwa kama maandaziUmaskini na ujinga unakusumbua wewe
Ni majobless hao wasiokuwa na mbele wala nyumaNi mupuuz huyo jamaa , usikute anaishi kwa dada anasubir matokeo ya form 4 , hoja za form 4 kbs
Hao ni majinga wa vijiweni wasiokuwa na direction ya maishaLete ushaidi na sio porojo za kijiwen