Diana Bundala aka Mfalme Zumaridi, afikishwa Mahakamani akikabiliwa na kesi tatu ikiwemo usafirishaji haramu wa binadamu

Diana Bundala aka Mfalme Zumaridi, afikishwa Mahakamani akikabiliwa na kesi tatu ikiwemo usafirishaji haramu wa binadamu

Weweeeeeeeeeee acha kimlinganisha Yesu Kristu na takataka huyo Shemale wenu huna hata aibu? Yesu Kristu umfananishe na Diana Bundala nadhani wachangiaji wameshamjua mtoto wa Sunday school .
Wewe ndio mtoto wa Sunday school. Unataka kumlinganisha Yesu Kristo na Mfalme Zumaridi?. Kasome Biblia vizuri uelewe hasa kitabu Cha Isaya. Kuzaliwa kwa Yesu Kristo na kifo chake kulitabiriwa miaka mingi nyuma.
Mnalingana akili zenu, kwanza mmemezwa na madhehebu ndiyo maana mmejibu kama wafia dini.

Nimeuliza swali, sikutoa maelezo hapo ndipo udogo wa akili zenu ulipojitosheleza.
 
Huyu maza mbona ka mkongoman au mbwembwe
 
Hivi serikali kabisa imekosa Kazi ya kufanya,
 
Mwachieni huyu mama, kama mnataka kukomesha uyoga wa haya makanisa ambayo mengi ni ya kitapeli basi wekeni sheria ili mtu anayetaka kuanzisha kanisa ni lazima awe na na elimu ya dini kwa kiwango cha Degree ( Degree of Theology ) kama ilivyo Rwanda na baadhi ya nchi duniani.

Huyu mama ananganga njaa mwachieni tu.
Wanamuonea bure,kisa imani yake,mbona waganga wa kienyeji waharibu Sana Maisha ya watu na ukusanya watu bila kibali vilingeni mwao bila taarifa, KILA mtu anao uhuru wa kuabudu.
 
Back
Top Bottom