hashycool
JF-Expert Member
- Oct 2, 2010
- 6,555
- 2,837
Vipi tena tunatishana jamani....i thought umesema,nice move????:coffee:
beware the vampires
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi tena tunatishana jamani....i thought umesema,nice move????:coffee:
beware the vampires
Sasa kosa limeshakua la mwanaume?lolNipo mpendwa nashukuru kwa kinimiss,nilikuwa na matatizo ya ndoa tumeachana na mume sasa hivi naishi na mwanamke mwenzangu hamna tena kelele wala bugudha.Wanaume ni ugonjwa wa moyo sitaki tena.
Nipo mpendwa nashukuru kwa kinimiss,nilikuwa na matatizo ya ndoa tumeachana na mume sasa hivi naishi na mwanamke mwenzangu hamna tena kelele wala bugudha.Wanaume ni ugonjwa wa moyo sitaki tena.
You are my role model,nilikuwa nafikiria option ya hawa wanaume....ngoja nami nitafute mdada.....:clap2::A S thumbs_down:
Nipo mpendwa nashukuru kwa kinimiss,nilikuwa na matatizo ya ndoa tumeachana na mume sasa hivi naishi na mwanamke mwenzangu hamna tena kelele wala bugudha.Wanaume ni ugonjwa wa moyo sitaki tena.
Yaani wanawake wawili ndani ya nyumba ni amani tupu hata afya imeimarika.
Tafadhari tafakari ombi langu kwenye thread ya "chungudoa anafaa kuolewa", yaani usiku silali nikuota wewe hadi my wife ameamua kuniruhusu nikuambie tu shida yangu.
You are my role model,nilikuwa nafikiria option ya hawa wanaume....ngoja nami nitafute mdada.....:clap2::A S thumbs_down:
ROLE MODEL?... MAY BE ROLE DEATH! :twitch:
Nashukuru sana,wewe ni wa pili kuniona nafaa kuwa mke.........ila uzuri zaidi unapenda niwe mke wako wa pili na umevutwa kwa kuona avatar na sio mimi,jibu langu ni kuwa niko tayari kuolewa nawe......tunaweza zungumzia hili zaidi,asante sana,you are unique kwa kweli.
Nipo mpendwa nashukuru kwa kinimiss,nilikuwa na matatizo ya ndoa tumeachana na mume sasa hivi naishi na mwanamke mwenzangu hamna tena kelele wala bugudha.Wanaume ni ugonjwa wa moyo sitaki tena.