The Most Winner
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 733
- 960
Wasamee bure.Yaani nimekasirika hadi nimejikuta nacheka comments za wadau, ila we Chereko kuna kitu unanitafuta mda mrefu, sawa bana endelea, mjanja wewe😒na ni kweli mimi ni Me, nachuna ng'ombe vingunguti, kiwigi kinatoa mvuke sana tu😀
Good..Usishawishike kwa namna yoyote kumwaga details za mtu hapa mkuu.Heshimu Privacy kama lengo kuu la Jukwaa hili
Hatimaye na wewe shift yako imefika 😂Yaani nimekasirika hadi nimejikuta nacheka comments za wadau, ila we Chereko kuna kitu unanitafuta mda mrefu, sawa bana endelea, mjanja wewe😒na ni kweli mimi ni Me, nachuna ng'ombe vingunguti, kiwigi kinatoa mvuke sana tu😀
Huyu ni yule santino?!
financial services ana kichura ila kimeanzia chini ya magoti.
Uzi ufungwe imeisha, nipo kawaida sana😏
[emoji23] [emoji23] Kumbe unaniona navyokuelezea.Mkuu wewe[emoji3]
Sasa umekasirikia nini.Uzi ufungwe imeisha, nipo kawaida sana[emoji57]
We waache tu.Hee[emoji849]
Ni mrembomkuu hebu tuambie, ana Chura?
Yupo karantin anafukiziwa mvukeDiana spencer mbona hajaja?
Yupo karantin anafukiziwa mvuke
Zungumza vizuri mamaMy babe, sielewiii
😂😂😂Bado unakomaa tu mkuu.
Naam unaweza kujifukiza hata kama una bawasili unapona.
Sina cha kuwanyima wala kuwapa mkuu, mimi ni Mchuna ng'ombe tu[emoji3]