Diana Spencer na Financial Service wa JF (Special thread)

Diana Spencer na Financial Service wa JF (Special thread)

Yaani nimekasirika hadi nimejikuta nacheka comments za wadau, ila we Chereko kuna kitu unanitafuta mda mrefu, sawa bana endelea, mjanja wewe😒na ni kweli mimi ni Me, nachuna ng'ombe vingunguti, kiwigi kinatoa mvuke sana tu😏
Jukwaa lilipoa nikaamua kulichangamsha nisamee dada yangu
 
Yaani nimekasirika hadi nimejikuta nacheka comments za wadau, ila we Chereko kuna kitu unanitafuta mda mrefu, sawa bana endelea, mjanja wewe[emoji19]na ni kweli mimi ni Me, nachuna ng'ombe vingunguti, kiwigi kinatoa mvuke sana tu[emoji57]
Mkuu tengua kauli kwanza ya kusema wewe ni mwanaume kabla hujaendelea na kuquote wengine..

Unataka utunyime nini mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom