Chereko tena
JF-Expert Member
- Dec 9, 2019
- 467
- 520
- Thread starter
- #81
Jukwaa lilipoa nikaamua kulichangamsha nisamee dada yanguYaani nimekasirika hadi nimejikuta nacheka comments za wadau, ila we Chereko kuna kitu unanitafuta mda mrefu, sawa bana endelea, mjanja wewe😒na ni kweli mimi ni Me, nachuna ng'ombe vingunguti, kiwigi kinatoa mvuke sana tu😏