Diana Spencer na Financial Service wa JF (Special thread)

Diana Spencer na Financial Service wa JF (Special thread)

Sawa. πŸ™πŸ™πŸ™

Eti ndio hadi umekoleza hayo maneno. Lol. πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
Ee bana Kimsisitizo bana.. yaani kabla hata hujajifanyia Ecdysis πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜›
 
financial services wa kawaida sana mara nyingi anapatikana Vingunguti machinjioni akichuna ng'ombe.
Wala asikuumize kichwa ni wa kawaida sana tena ukute amevaa kiwigi chake cha NIKE.
Ana kiwigi cha NIKE muda wote amekivaa na akinyeshewa na mvua huwa kinatoa mvuke.

financial services uongo nasema?
Hihihihiiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom