Diane Rwigara achukua fomu ya urais kuchuana na Paul Kagame

System inawachezea sana watu, unakuta huyu na PK lao Moja, wanacheza sinema ili sisi na mataifa ya nje tujidanganye kua Kuna democracy!!! Ni kama huku ccm, ikifika uchaguzi utaskia Kuna vyama vya upinzani sijui 13, kumbe vyama vya ccm tu hivo
 
HII ni SHUTUMA na TUHUMA nzito sana dhidi ya CCM HIZI comment zingine muwe mna uhakika wa Mwanasheria kabla hamjaziandika
 
System inawachezea sana watu, unakuta huyu na PK lao Moja, wanacheza sinema ili sisi na mataifa ya nje tujidanganye kua Kuna democracy!!! Ni kama huku ccm, ikifika uchaguzi utaskia Kuna vyama vya upinzani sijui 13, kumbe vyama vya ccm tu hivo
yan umewaza kama mim. Huyu mama si wa kumchallenge pk
 
System inawachezea sana watu, unakuta huyu na PK lao Moja, wanacheza sinema ili sisi na mataifa ya nje tujidanganye kua Kuna democracy!!! Ni kama huku ccm, ikifika uchaguzi utaskia Kuna vyama vya upinzani sijui 13, kumbe vyama vya ccm tu hivo
Ana Cha kupoteza gerezani amekaa yeye mama yake na marehemu dada yake ametoka kwenye familia ya kitajiri kagame kamuua baba yake ,dada yake na kupora Mali zao amekuwa na roho ya kijasiri sana ni mkosoaji mkubwa wa utawala wa Kagame Mungu amsimaie Kwa uamuzi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…