Diane Rwigara achukua fomu ya urais kuchuana na Paul Kagame

Diane Rwigara achukua fomu ya urais kuchuana na Paul Kagame

yan umewaza kama mim. Huyu mama si wa kumchallenge pk
Huwa akili yako ikiwa muda wote inawza conspiracy hayo ndio madhara yake mtu kapoteza dada na baba yake kwa issue hzo hzo za siasa halafu mnaandika mambo ya kufilika kuwa anashirikiana na mpinzani wake huwa kuna moment katika maisha ikifika huwa hauna cha kuhofia.
 
Cowardice dies twice
 
Wanasema bado anatakiwa kuthibitisha kwamba ana "sole nationality."

Athibitishe Uraia mmoja tu, wa Rwanda, hawataki raia pacha.

Azunguke na fomu dunia nzima wamgongee muhuri kwamba yeye sio raia wao, ndio airudishe Rwanda.

Hapo ndio unapoona kichwa cha Mwafrika kina nerve cells zinazo misfire...
 
Kagame is smart. Anajaribu kuonyesha kuwa kuna competition.

Huenda zile chaguzi za zamani kweli alimnyoosha huyo binti, ila kwenye uchaguzi huu amemuona ni asset ya kujustify ushindi atakaojipa yeye mwenyewe
 
System inawachezea sana watu, unakuta huyu na PK lao Moja, wanacheza sinema ili sisi na mataifa ya nje tujidanganye kua Kuna democracy!!! Ni kama huku ccm, ikifika uchaguzi utaskia Kuna vyama vya upinzani sijui 13, kumbe vyama vya ccm tu hivo
Ungejua historia ya famia yake usingesema hivi. Huyu Baba yake na dada yake waliuliwa na PK
 
System inawachezea sana watu, unakuta huyu na PK lao Moja, wanacheza sinema ili sisi na mataifa ya nje tujidanganye kua Kuna democracy!!! Ni kama huku ccm, ikifika uchaguzi utaskia Kuna vyama vya upinzani sijui 13, kumbe vyama vya ccm tu hivo
Siasa gani wakati baba yake aliuwawa na familia yake kuporwa mali? Punguzeni ujuaji
 
Back
Top Bottom