Diane Rwigara achukua fomu ya urais kuchuana na Paul Kagame

Diane Rwigara achukua fomu ya urais kuchuana na Paul Kagame

System inawachezea sana watu, unakuta huyu na PK lao Moja, wanacheza sinema ili sisi na mataifa ya nje tujidanganye kua Kuna democracy!!! Ni kama huku ccm, ikifika uchaguzi utaskia Kuna vyama vya upinzani sijui 13, kumbe vyama vya ccm tu hivo
Unataka kusema hata Chadema na akina Mbowe, Lissu ni mbwembwe tu?
 
Kagame is smart. Anajaribu kuonyesha kuwa kuna competition.

Huenda zile chaguzi za zamani kweli alimnyoosha huyo binti, ila kwenye uchaguzi huu amemuona ni asset ya kujustify ushindi atakaojipa yeye mwenyewe
Mbona wagombea ni wengi tu. Halafu mfumo wa Rwanda ni tofauti kabisa.
 
Unajua political reconciliation? Kagame alishindwa kumuua huyo dada au anashindwa kumuua?
Amuue wa Nini? Kashammaliza kabisa kiuchumi, hana pa kwenda. Nikiri Baba yake aliuawa kwa ajali ya kutengeneza.
 
System inawachezea sana watu, unakuta huyu na PK lao Moja, wanacheza sinema ili sisi na mataifa ya nje tujidanganye kua Kuna democracy!!! Ni kama huku ccm, ikifika uchaguzi utaskia Kuna vyama vya upinzani sijui 13, kumbe vyama vya ccm tu hivo
Ungefatilia mambo kwanza kuliko kuongea usilojua. Huyo Diane baba yake kauawa, Mali zake kafirisiwa kiuchumi, kakaa jela, picha zake za uchi kusambazwa Rwanda nzima. Kapitia mengi in real life dhidi ya Utawala.

Pia lazima ujue mfumo wa uchaguzi wa Rwanda ni tofauti na Bongo. Rwanda Wana serikali ya mseto , Yani Rais akitokea RPF Waziri Mkuu atatokea upinzani.
 
Wanasema bado anatakiwa kuthibitisha kwamba ana "sole nationality."

Athibitishe hana uraia pacha.

Azunguke na fomu dunia nzima wamgongee muhuri kwamba yeye sio raia wao, airudishe Rwanda.

Hapo ndio unapoona kichwa cha Mwafrika kina nerve cells zinazo misfire...
Aaaaaiiiseeee! Kila mtu ananishangaa hapa ninavyocheka
 
Aaaaaiiiseeee! Kila mtu ananishangaa hapa ninavyocheka
ndio, kwa saab unaanza anzaje ku prove kwamba wewe sio raia pacha ?

Inabidi uende na fomu China, Vietnam, Fiji Islands, Palestina, Hondurus, Nicargua, Kongo Brazaville, Kongo Kinshasha, Guinea Bissau, Guinea Conakry, Equatoria Guinea, Papua New Guinea....

wakucheki kwenye data zao wakugongee muhuri kwamba you good! hujachukua uraia hapa kwetu, rudi kwenu kagombee

Wasomi kabisa wa tai na suruali wamekaa chini wakaandika sheria ya Rwanda inayosema uthibitishe wewe sio raia pacha!

Mwafrika inapokuja kwenye ku think, amemzidi kidogo sana ngedere
 
Hii comment ni ya karne... Inafikia kipindi cha kupoteza iwapo lijitu limemuua baba na dada ako huwezi kucheka nalo lazima uli challenge kwenye battle yoyote.
 
Back
Top Bottom