kuna wakati waliswekwa ndani wote watatu as family,Alikuwa dada yake, kwao wote ni watata mpaka mama yao
powerful politicians huibuka zaidi kwenye brutal regimes sijui kwanini aise πNDIO ndio yeye Mbishi zaidi
Wasimuue TU maana Paka' sio PKpowerful politicians huibuka zaidi kwenye brutal regimes sijui kwanini aise π
Huwa akili yako ikiwa muda wote inawza conspiracy hayo ndio madhara yake mtu kapoteza dada na baba yake kwa issue hzo hzo za siasa halafu mnaandika mambo ya kufilika kuwa anashirikiana na mpinzani wake huwa kuna moment katika maisha ikifika huwa hauna cha kuhofia.yan umewaza kama mim. Huyu mama si wa kumchallenge pk
powerful politicians huibuka zaidi kwenye brutal regimes sijui kwanini aise π
Cowardice dies twiceHuwa akili yako ikiwa muda wote inawza conspiracy hayo ndio madhara yake mtu kapoteza dada na baba yake kwa issue hzo hzo za siasa halafu mnaandika mambo ya kufilika kuwa anashirikiana na mpinzani wake huwa kuna moment katika maisha ikifika huwa hauna cha kuhofia.
sidhani kama unaweza fikia hatua hiyo...Wasimuue TU maana Paka' sio PK
Ungejua historia ya famia yake usingesema hivi. Huyu Baba yake na dada yake waliuliwa na PKSystem inawachezea sana watu, unakuta huyu na PK lao Moja, wanacheza sinema ili sisi na mataifa ya nje tujidanganye kua Kuna democracy!!! Ni kama huku ccm, ikifika uchaguzi utaskia Kuna vyama vya upinzani sijui 13, kumbe vyama vya ccm tu hivo
Watata huku wana endelea kuishaAlikuwa dada yake, kwao wote ni watata mpaka mama yao
Hawa ni wale ambitious womens, humwambii kitu haha. Ila akikupenda yeye mwenyewe. Ukimpenda wewe una kaziKuna watu wabishiπ.
Huyu kumuoa ni kazi.
Aidha akuoe au muoane. Sio kumuoa
Nishasema wasimuue TU maana Paka' sio PKsidhani kama unaweza fikia hatua hiyo...
Japo,
URAIS ni taasisi yenye wivu kupindukia ni vizuri kudeal nayo kwa tahadhari na umakini mkubwa sana , lolote laweza pangwa na kufanyika dhidi ya anae izengeazengea white house π
Sure na inafikia hatua nafsi inakata mawasiliano ya kuishi unaamua poa tu lolote lije from any where.Ameshapoteza vingi nya muhimu.
basi nae ni vizuri akazingatia asili ya wivu wa taasisi yenyewe πNishasema wasimuue TU maana Paka' sio PK
Siasa gani wakati baba yake aliuwawa na familia yake kuporwa mali? Punguzeni ujuajiSystem inawachezea sana watu, unakuta huyu na PK lao Moja, wanacheza sinema ili sisi na mataifa ya nje tujidanganye kua Kuna democracy!!! Ni kama huku ccm, ikifika uchaguzi utaskia Kuna vyama vya upinzani sijui 13, kumbe vyama vya ccm tu hivo