Diara ashinda tuzo ya mchezaji Bora wa Mali kwa Africa

Diara ashinda tuzo ya mchezaji Bora wa Mali kwa Africa

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
diarra.jpg

Mlinda mlango wa klabu ya Yanga SC Djigui Diara ametwaa tuzo ya mchezaj bora wa Afrika kwa msimu wa 2023\2024, katika tuzo zilizotolewa nchini Mali. Tuzo hizo maalum zilizotolewa nchini Mali ni kwa wachezaji wa nchini humo wanaocheza ndani ya Bara la Afrika

Diara amechukua tuzo hiyo akiwashinda wachezaji wenzake, Sadio Kanute, Fily Traore, Aliou Dieng na Abdoulaye kanou waliokuwa wakiwania tuzo hiyo. Tuzo hizo maalum hutolewa kwa wachezaji wanaofanya vizuri katika msimu husika.

Ni kweli Diara amestahili tuzo hiyo?
 
Back
Top Bottom