ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Diarra✅😂Na lile tege lake na kibyongo ujiandae vilivyo kukunjwa maana baadhi ya wanawake wanasema mwanaume mwenye utege na ubyongo kama Diara wanawakunja wanawake mpaka wamwage maji😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diarra✅😂Na lile tege lake na kibyongo ujiandae vilivyo kukunjwa maana baadhi ya wanawake wanasema mwanaume mwenye utege na ubyongo kama Diara wanawakunja wanawake mpaka wamwage maji😀
Ndio
Mlinda mlango wa klabu ya Yanga SC Djigui Diara ametwaa tuzo ya mchezaj bora wa Afrika kwa msimu wa 2023\2024, katika tuzo zilizotolewa nchini Mali. Tuzo hizo maalum zilizotolewa nchini Mali ni kwa wachezaji wa nchini humo wanaocheza ndani ya Bara la Afrika
Diara amechukua tuzo hiyo akiwashinda wachezaji wenzake, Sadio Kanute, Fily Traore, Aliou Dieng na Abdoulaye kanou waliokuwa wakiwania tuzo hiyo. Tuzo hizo maalum hutolewa kwa wachezaji wanaofanya vizuri katika msimu husika.
Ni kweli Diara amestahili tuzo hiyo?