Mlinda mlango wa klabu ya Yanga SC Djigui Diara ametwaa tuzo ya mchezaj bora wa Afrika kwa msimu wa 2023\2024, katika tuzo zilizotolewa nchini Mali. Tuzo hizo maalum zilizotolewa nchini Mali ni kwa wachezaji wa nchini humo wanaocheza ndani ya Bara la Afrika
Diara amechukua tuzo hiyo akiwashinda wachezaji wenzake, Sadio Kanute, Fily Traore, Aliou Dieng na Abdoulaye kanou waliokuwa wakiwania tuzo hiyo. Tuzo hizo maalum hutolewa kwa wachezaji wanaofanya vizuri katika msimu husika.
Dah! Baada ya Hamisa Mobeto kukuwekea kiwingu kule kwingine, umeona ujaribu na huku! Mimi nilishakuambia kitambo; wewe mchague tu mmoja wetu kati ya Mimi na Lucas ili maisha yaendelee.