Gwele JF-Expert Member Joined Jun 7, 2016 Posts 2,604 Reaction score 3,319 Nov 8, 2024 #141 Gwele said: Ataenda wapi huyo atastaafia Yanga labda waachane nae na hata akiondoka hawezi kwenda Ulaya ni hapa hapa Africa tena sio katika top clubs za bara hili Click to expand... Tukiongea sisi tunaonekana tuna chuki na nyanda la boli, haya waje tena watuambie huyo kipa wa kwenda ulaya wamemuonea wapi?
Gwele said: Ataenda wapi huyo atastaafia Yanga labda waachane nae na hata akiondoka hawezi kwenda Ulaya ni hapa hapa Africa tena sio katika top clubs za bara hili Click to expand... Tukiongea sisi tunaonekana tuna chuki na nyanda la boli, haya waje tena watuambie huyo kipa wa kwenda ulaya wamemuonea wapi?
Gwele JF-Expert Member Joined Jun 7, 2016 Posts 2,604 Reaction score 3,319 Nov 8, 2024 #142 bullar said: Diarra anapata timu ligi za Denmark, Sweden, Switzerland, Portugal, etc Click to expand... Tusubiri mwaka huu huu au mwakani?
bullar said: Diarra anapata timu ligi za Denmark, Sweden, Switzerland, Portugal, etc Click to expand... Tusubiri mwaka huu huu au mwakani?