Gwele
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 2,604
- 3,319
Diarra hajaanza kudaka leo hapo Mali national Team jiulize ni kitu gani kimemkwamisha miaka yote kutoka kwenda nje ya nchi toka aanze kuwa kipa wa Mali mwaka 2015.
Mali ni moja ya nchi inayotoa vipaji vya kutosha duniani na maskauti wengi wanafuatilia sana vipaji kutoka taifa hilo lakini bado hawakuweza kumuona huyo Diarra na shida sio uwezo wake wa kudaka shida kubwa ya Diarra ni kimo (ufupi)
Msimu uliopita Diarra akiwa Yanga alidaka kwa kiwango kikubwa kwenye michuano ya shirikisho ikiwemo kucheza penalty na kuwa man of the match kule Algeria lakini ulisikia kuna timu yoyote inajisumbua nae??
Sasa leo uje useme klabu toka ulaya ije imsajili Diarra kwa kufanya save 04 kwenye mechi dhidi ya South Africa ni kichekesho.
Diarra ashukuru kusainiwa na Yanga kwake ni mafanikio makubwa kwa golikipa wa kimo chake na kama sio Yanga kumtoa Mali mpaka sasa angekuwa ligi yao ya nyumbani