Diarra hapaswi kucheza Yanga, aende Ufaransa

Diarra hapaswi kucheza Yanga, aende Ufaransa

Yule Aliou Dieng sijui kwa nini hachezi ulaya mwamba anapiga hadi una mwagika lakini kwa Diarra kucheza ulaya ni vigumu sana tayali umri umemtupa mkono na nafasi anayo cheza ni nadra Sana kumkuta golikipa wa kiafrika kwenye timu za ulaya
 
Huyo Sippel nimekuuliza ana 1.79m kama Diarra mbona unashindwa kueleza kwanini umemtaja golikipa mrefu kabisa kujustify ufupi wa Diarra au ndio kuishiwa Hoja
Diarra 1.79m
Sippel 1.83m
Kwa uelewa wako kidogo wa namba, hizo namba hapo juu ni sawa?
Hizo 183cm unazitoa wapi mbona vitu vingine ni rahisi sana yaani kutumia akili tu unaona uvivu
IMG_20240117_140354.jpg
IMG_20240117_104532.jpg
 
Nafuatilia game ya South Africa na Mali, kiukweli huu uwezo wa huyu kipa wa Mali si wa kawaida, Nina hakika huu ndio msimu wake wa mwisho kuchezea Yanga.
Golikipa wa Afrika kwenda kucheza Ulaya si rahisi, hata nje ya nchi yake tu kuja Tanzania inabidi ashukuru Mungu. Inaweza ikawa akaenda timu nyingine za Afrika, lakini sio Ulaya. Kwa game ya jana hakuna kipya alichofanya cha kipekee ambacho kinaweza kushawishi timu za Ufaransa. Sana sana niliona makosa yaliyotia shaka uwezo wake hata kama kuna timu ilikuwa inamfikiria. Ya kwanza alitoka akaenda kupiga faulo, kwa mshangao akapiga nje upande huo huo aliopigia. Ya pili alitoka kwenda ndani kabisa kuufuata mpira, akateleza na kupishana nao, na yeye ndio sasa akaanza kuufukuza kuelekea langoni mwake
 
Labda niku wewe una akili kuliko kocha wa Mali maana pale bench kuna kipa anacheza Sweden urefu wake ni 1.94m aka amua kuanza na Diara ?au AFCON wanacheza watu wafupi?
Huyu msimjibu jamaa ana husda sana huyu watu kama Hawa ndo huwaga na roho ya kwa Nini mtu akifanya vizuri msifie usipomsifia hiyo huitwa gubu ndio mtu kama huyu
 
Golikipa wa Afrika kwenda kucheza Ulaya si rahisi, hata nje ya nchi yake tu kuja Tanzania inabidi ashukuru Mungu. Inaweza ikawa akaenda timu nyingine za Afrika, lakini sio Ulaya. Kwa game ya jana hakuna kipya alichofanya cha kipekee ambacho kinaweza kushawishi timu za Ufaransa. Sana sana niliona makosa yaliyotia shaka uwezo wake hata kama kuna timu ilikuwa inamfikiria. Ya kwanza alitoka akaenda kupiga faulo, kwa mshangao akapiga nje. Ya pili alitoka kwenda ndani kabisa kuufuata mpira, akateleza na kupishana nao, na yeye ndio sasa akaanza kuufukuza kuelekea langoni mwake
Huna akili
 
Yule Aliou Dieng sijui kwa nini hachezi ulaya mwamba anapiga hadi una mwagika lakini kwa Diarra kucheza ulaya ni vigumu sana tayali umri umemtupa mkono na nafasi anayo cheza ni nadra Sana kumkuta golikipa wa kiafrika kwenye timu za ulaya
Ana umri gani ?
 
Jana nilijua kabisa kuwa Mali atapigwa vibaya mno,aiseh kumbe nlkuwa cjuwi kuwa majamaa Wanawachezaji wazuri sana tena wakimataifa,nikawa najiuliza mbona kanute hajaitwa? Duh kuja kucheki viungo wa Mali nikasema halali aiseh,Yan pale katikati mchezaji wao mdogo eti ndio yupo Al Ahly
Mali wapo vzr kitambo. Walikuaga na keita ndie alikua anamuweka benchi yahya toure kule barca
 
Watu wanachuki kali na mbaya sana itoshe kusematu ni wauaji!!

Yaani mdau kapendekeza tu Diaraa aende timu bora/malipo huko ulaya ila baadhi ya mashetani wamechukia sana khaaaaa

Huu umasikini mbaya nyie
Watu kama hawa ni rahisi sana kuroga
 
Yaani mdau kapendekeza tu Diaraa aende timu bora/malipo huko ulaya ila baadhi ya mashetani wamechukia sana khaaaaa
Huu umasikini mbaya nyie
Mkuu, kwenda Ulaya hakupendekezwi na mdau wa JF. Mawakala, Mameneja, Makocho na wakati mwingine wamiliki wa timu huwa ndio wenye nafasi ya kupendekeza
 
Watanzania kwa unafiki kwani manula hajawahi kudaka AFCON.
 
Jana nilijua kabisa kuwa Mali atapigwa vibaya mno,aiseh kumbe nlkuwa cjuwi kuwa majamaa Wanawachezaji wazuri sana tena wakimataifa,nikawa najiuliza mbona kanute hajaitwa? Duh kuja kucheki viungo wa Mali nikasema halali aiseh,Yan pale katikati mchezaji wao mdogo eti ndio yupo Al Ahly
Mali umeanza kuijua jana
 
LEO TUNAFUNGWA NA MOROCO KWA SABABU YA UTAWALA MBOVU WA CCM.
Hawa TANESCO siyo wazalendo kila mara serikali inawanahimiza wananchi wa kawaida kuwa wazalendo tunashindwa kuangalia AFCON, waje waijie nguzo zao tumechoka kukatiwa umeme.
 
Jana nilijua kabisa kuwa Mali atapigwa vibaya mno,aiseh kumbe nlkuwa cjuwi kuwa majamaa Wanawachezaji wazuri sana tena wakimataifa,nikawa najiuliza mbona kanute hajaitwa? Duh kuja kucheki viungo wa Mali nikasema halali aiseh,Yan pale katikati mchezaji wao mdogo eti ndio yupo Al Ahly
Wewe utakua umeijua Mali baada ya Diara kuja hapo utopoloni
 
Back
Top Bottom