Diarra hapaswi kucheza Yanga, aende Ufaransa

Diarra hapaswi kucheza Yanga, aende Ufaransa

Hvi Mendy ana umri gani

Samahani mkuu hvi Mendy yule golikipa wa Senegal sasa hvi anafanya kazi wapi.....?
Mendy aliwahi kucheza timu yoyote ya Africa?.

Mendy amezaliwa France, kwa sasa ana miaka 31, amecheza timu za Ufaransa kabla ya kuhamia Chelsea na hatimaye kwenda Uarabuni.

Swali langu lilisema, ni golikipa yupi ambaye ana miaka 28+ aliyekuwa anacheza timu za Africa aliyewahi sajiliwa ulaya?.
 
Sasa Ufaransa ni waarabu?
Alitokea timu ipi ya Afrika kabla ya kwenda Uarabuni?.

Swali langu linasema, ni golikipa yupi aliyekuwa anachezea timu za Africa mwenye miaka 28+ aliyewahi kusajiliwa ulaya?.
 
Mendy aliwahi kucheza timu yoyote ya Africa?.

Mendy amezaliwa France, kwa sasa ana miaka 31, amecheza timu za Ufaransa kabla ya kuhamia Chelsea na hatimaye kwenda Uarabuni.

Swali langu lilisema, ni golikipa yupi ambaye ana miaka 28+ aliyekuwa anacheza timu za Africa aliyewahi sajiliwa ulaya?.
Mkuu samahani kama hutojali hebu rejea comment yako aya ya mwisho.
 
Kwa hiyo Edward Mendy ni anatokea Saudi Arabia kumbe?
Huyo Mendy alikuwa anacheza timu ipi ya Africa kabla ya kwenda Uarabuni?.

Swali langu, ni mchezaji yupi mwenye miaka 28+ aliyekuwa anacheza timu za Africa kisha akasajiliwa ulaya?.

Ukipata jibu niambie.

Kama mchezaji yuko Ulaya hata angekuwa na miaka 40 anapata timu ya Ulaya, Uarabuni, Amerika n.k lakini kama yuko Africa hesabu imetoka kwenda Ulaya
 
Kwa sasa ulaya nzima hakuna golikipa mfupi chini ya 1.8m sasa huyo Diarra mwenye 1.79m huko ulaya ataenda kudaka ligi gani? Hivi unafikiri kuna timu inapenda kuruhusu goli 50+ kwa msimu mmoja?
Diarra ataendelea kudaka hapahapa miaka yote na sio Ulaya tu hata top clubs tu za hapa Africa haziwezi kumuwazia kwanza nimewashangaa Mali kumuamini golikipa mfupi kwenye michuano mikubwa kama hii
 
Changamoto atakayokutana nayo diara kwenda nje ya afrika ni kama ile aliyokutana nayo Juma K Juma
Juma k Juma alikua kwenye level gani compare to Diara? Kwa sababu Juma K Juma aling'ara zaidi kwenye ligi yetu....
Lakini outside hakuwahi kutisha Sana Diara anaonekana kwenye michuano mikubwa Africa..

Diara amekua nominated kwenye magolikipa 10 Bora Africa, sahivi yupo na timu ya Taifa ya Mali yenye mastaa kibao Hadi magolikipa wenza wanacheza ulaya lakini Diara katoboa...
 
Kaka kwa kimo cha diara ni ngumu sana kupata timu ulaya, sisemi haiwezekani ila ni ngumu sana
 
Kwa sasa ulaya nzima hakuna golikipa mfupi chini ya 1.8m sasa huyo Diarra mwenye 1.79m huko ulaya ataenda kudaka ligi gani? Hivi unafikiri kuna timu inapenda kuruhusu goli 50+ kwa msimu mmoja?
Diarra ataendelea kudaka hapahapa miaka yote na sio Ulaya tu hata top clubs tu za hapa Africa haziwezi kumuwazia kwanza nimewashangaa Mali kumuamini golikipa mfupi kwenye michuano mikubwa kama hii
Huu ndio ukweli ila ni ngumu sana washabiki wa yanga kukuelewa
 
Ulaya na nchi zilizoendelea kisoka zinataka magolikipa warefu. Tafuta ulaya kama kuna timu ina kipa mwenye urefu sawa na diara
Nini logic behind? Useful una endana vipi na uchezaji? Mnata ni mrefu zaidi ya Diarra, je kwanini Diara ni bora zaidi ya Mnata? Hamna hoja katika hilo.
 
Huu ndio ukweli ila ni ngumu sana washabiki wa yanga kukuelewa
Wanahisi tunaongea kishabiki labda au chuki ila tunachosema ndio uhalisia wa mpira ulivyo kwa sasa ulaya yote na hata duniani tu
Huwezi kuwa na kipa mwenye urefu chini ya futi 6 (1.83m) ni risk kubwa sana
Ndio maana unaona hata mataifa ambayo kiasili ni wafupi mfano China, Japan au hata Korea Kusini pamoja na wao kuwa wafupi lakini hawana golikipa mfupi kama Diarra wote makipa wao wanaanzia 1.89m sasa ndio ije kuwa ulaya kweli?
Sote tunatamani Diarra afike mbali iweze kuipa heshima na ligi yetu ila kiuhalisia ni HAIWEZEKANI KAMWE.
 
Nini logic behind? Useful una endana vipi na uchezaji? Mnata ni mrefu zaidi ya Diarra, je kwanini Diara ni bora zaidi ya Mnata? Hamna hoja katika hilo.
Wewe unasema hatuna hoja lakini hujiulizi kwanini ulaya hawachukui makipa wenye vimo sawa na diara? Unaamini diara ndio kipa wa kwanza mwenye kimo kile? Kwanini ulaya huwakuti kwenye ligi zote unazozijua wewe?
 
Diarra 1.79m
Barthez 1.8m
Iker Cassilas 1.82m

Nani mfupi hapo kuliko wenzake??
Acha kujificha kwa Cassilas nmekupa mifano ws makipa watatu Bartez, Jordi Masip tena yeye ana 179cm same to Tobias Sippel mmoja yupo Spain Laliga mwingine yupo Bundesliga
 
Back
Top Bottom