K11
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 3,447
- 11,274
Mendy aliwahi kucheza timu yoyote ya Africa?.Hvi Mendy ana umri gani
Samahani mkuu hvi Mendy yule golikipa wa Senegal sasa hvi anafanya kazi wapi.....?
Mendy amezaliwa France, kwa sasa ana miaka 31, amecheza timu za Ufaransa kabla ya kuhamia Chelsea na hatimaye kwenda Uarabuni.
Swali langu lilisema, ni golikipa yupi ambaye ana miaka 28+ aliyekuwa anacheza timu za Africa aliyewahi sajiliwa ulaya?.