Diarra hapaswi kucheza Yanga, aende Ufaransa

Diarra hajaanza kudaka leo hapo Mali national Team jiulize ni kitu gani kimemkwamisha miaka yote kutoka kwenda nje ya nchi toka aanze kuwa kipa wa Mali mwaka 2015.

Mali ni moja ya nchi inayotoa vipaji vya kutosha duniani na maskauti wengi wanafuatilia sana vipaji kutoka taifa hilo lakini bado hawakuweza kumuona huyo Diarra na shida sio uwezo wake wa kudaka shida kubwa ya Diarra ni kimo (ufupi)

Msimu uliopita Diarra akiwa Yanga alidaka kwa kiwango kikubwa kwenye michuano ya shirikisho ikiwemo kucheza penalty na kuwa man of the match kule Algeria lakini ulisikia kuna timu yoyote inajisumbua nae??
Sasa leo uje useme klabu toka ulaya ije imsajili Diarra kwa kufanya save 04 kwenye mechi dhidi ya South Africa ni kichekesho.

Diarra ashukuru kusainiwa na Yanga kwake ni mafanikio makubwa kwa golikipa wa kimo chake na kama sio Yanga kumtoa Mali mpaka sasa angekuwa ligi yao ya nyumbani
 
Nimekwambia utaje makipa wenye kimo sawa na Diarra wanaocheza ulaya unanitajia makipa wanaocheza ligi daraja la pili na wengne unawataja wamemzidi kabisa Diarra kimo unawataja hivi ni kwamba umekosa kabisa hadi uokoteze majina?
Daraja la pili analocheza sio ulaya!!!!
 
Diarra ni kila mzuri I can admit. Ila kwa ulaya labda aende Cyprus l, Uzbekistan Armenia huko ila France sijui Belgium labda Ligi za chini
 
Tofauti na mwasibu ambaye akisema kitu basi huwa ni kinyume chake wewe mara nyingi mambo yako huwa yana ukweli
 
Diarra hajaanza kudaka leo hapo Mali national Team jiulize ni kitu gani kimemkwamisha miaka yote kutoka kwenda nje ya nchi toka aanze kuwa kipa wa Mali mwaka 2015.

Mali ni moja ya nchi inayotoa vipaji vya kutosha duniani na maskauti wengi wanafuatilia sana vipaji kutoka taifa hilo lakini bado hawakuweza kumuona huyo Diarra na shida sio uwezo wake wa kudaka shida kubwa ya Diarra ni kimo (ufupi)

Msimu uliopita Diarra akiwa Yanga alidaka kwa kiwango kikubwa kwenye michuano ya shirikisho ikiwemo kucheza penalty na kuwa man of the match kule Algeria lakini ulisikia kuna timu yoyote inajisumbua nae??
Sasa leo uje useme klabu toka ulaya ije imsajili Diarra kwa kufanya save 04 kwenye mechi dhidi ya South Africa ni kichekesho.

Diarra ashukuru kusainiwa na Yanga kwake ni mafanikio makubwa kwa golikipa wa kimo chake na kama sio Yanga kumtoa Mali mpaka sasa angekuwa ligi yao ya nyumbani
Wewe huna akili kwa hio wachezaji wote wanaotoka Mali wapo ulaya? Sadio Kanoute si mbona yupo Simba, Alou Dieng yupo Al Ahly hapo maelezo mengi pumba tupu
 
Back
Top Bottom