Gwele
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 2,604
- 3,319
Tukiongea sisi tunaonekana tuna chuki na nyanda la boli, haya waje tena watuambie huyo kipa wa kwenda ulaya wamemuonea wapi?Ataenda wapi huyo atastaafia Yanga labda waachane nae na hata akiondoka hawezi kwenda Ulaya ni hapa hapa Africa tena sio katika top clubs za bara hili